Nje ya Tanzania hakuna anayejua matokeo ya Simba vs Yanga

Nimeamini wanaoumia ni mashabiki,mashabiki wa simba wanapitia kipindi kigumu kweli uku mtaani watu wana sonona.
Baada ya kufungwa tano ndio unataka kufahamu ubora wa NBC imeingia vipi ktk top 5,kipindi simba ipo vizuri mlikuwa mnasema nyinyi ndiyo mmeipa umaarufu NBC..iweje Leo mnakataa?
Kingine mlikuwa mkijimwambafai simba ni timu kubwa giant inajulikana duniani, sasa kama mnajulikana dunia watu watashindwa vipi kufahamu kama mmefungwa goli 5?
Hawajielewi ndo maana Rage aliwaita MBUMBUMBU
 
Nimeamini wanaoumia ni mashabiki,mashabiki wa simba wanapitia kipindi kigumu kweli uku mtaani watu wana sonona.
Baada ya kufungwa tano ndio unataka kufahamu ubora wa NBC imeingia vipi ktk top 5,kipindi simba ipo vizuri mlikuwa mnasema nyinyi ndiyo mmeipa umaarufu NBC..iweje Leo mnakataa?
Kingine mlikuwa mkijimwambafai simba ni timu kubwa giant inajulikana duniani, sasa kama mnajulikana dunia watu watashindwa vipi kufahamu kama mmefungwa goli 5?

Aahaaa

Akiijibu hii nondo niambie
Unamjaza mwenzio upepo. Amefungua link kwenye post ya kwanza akaangalia niliileta lini mada ya kuhoji hadi aseme "Baada ya kufungwa tano ndio unataka kufahamu ubora wa NBC imeingia vipi"?
 
Infantino na Motsepe wanajua kiingereza vizuri, inabidi watu wajiulize inakuwaje wamuulize "how much?". Infantino alianza kwanza kuuliza "How many", halafu haraka akabadili swali, "how much?" Mzungu hajawahi kuwa mjinga, wanajua mlungula ulitembea.
Uliona wapi chombo cha kudhibiti rushwa kwenye mpira kikabariki rushwa tena wazi wazi? Hivi wewe Kichwani zimo kweli wewe?
 
Hayo ni maongezi binafsi tena yale tunaita "casual" ila mtu na kimbelembele chake kayarekodi akayarusha akidhani yana msaada kwake kumbe yanamdhalilisha
 
Halafu wanafki wanasema tuwe wazalendo wakati mtu live kwenye kisimu chake mwenyewe anajirekodi anasambaza taarifa za kuiharibia timu nyingine ya Tanzania ionekane si lolote si chochote kwa manufaa yake binafsi
Kwani haikufungwa tano kuna uongo wowote hapo?
 
Hayo ni maongezi binafsi tena yale tunaita "casual" ila mtu na kimbelembele chake kayarekodi akayarusha akidhani yana msaada kwake kumbe yanamdhalilisha
Swala si ubinafsi, nimekuuliza Infantino anabariki rushwa michezoni? Kuwa na akili basi usiwe mwehu kupindukia ukaonekana wazi wazi. Kwani hata kama asingerekodi, hakuna watu pembeni wanaosikia? Au walikuwa wananong'onezana? Acha ujinga hata kama tano zimekuvuruga
 
Infantino na Motsepe wanajua kiingereza vizuri, inabidi watu wajiulize inakuwaje wamuulize "how much?". Infantino alianza kwanza kuuliza "How many", halafu haraka akabadili swali, "how much?" Mzungu hajawahi kuwa mjinga, wanajua mlungula ulitembea.
Ndugu yangu una akili timamu kweli? unajua Infatino ni raia wa wapi?
 
Swala si ubinafsi, nimekuuliza Infantino anabariki rushwa michezoni? Kuwa na akili basi usiwe mwehu kupindukia ukaonekana wazi wazi. Kwani hata kama asingerekodi, hakuna watu pembeni wanaosikia? Au walikuwa wananong'onezana? Acha ujinga hata kama tano zimekuvuruga
Nawe jibu swali kwa nini Infantino aulize "how much" tena baada ya kutoka kuuliza "how many" akabadili swali? Msomali wenu alishindwa kujiongeza.

Mwambieni Rais wenu aache kuzunguka kusambaza umbea kama Mwajuma Ndala Ndefu
 
Hayo ni maongezi binafsi tena yale tunaita "casual" ila mtu na kimbelembele chake kayarekodi akayarusha akidhani yana msaada kwake kumbe yanamdhalilisha
Ukoo wako una hasara, hivi unadhani Rais wa FIFA anaweza kuongea kibwege kama wewe?
 
Yaani hata hueleweki unachohoji na uzungumzia nini, mara Infantino ni mwanachama wa simba mara nyie wenyewe ndo mlisema simba ni timu kubwa inajulikana na kufatiliwa Duniani. Sasa hao wanaoifatilia Duniani pamoja na mwanachama wao wameshindwaje kuifatilia timu yao ikicheza mechi kubwa ya ligi mpaka washindwe kujua matokeo
 
Huyu ni mwanasimba upande wa Rage
 
Back
Top Bottom