Check HAPA Best Website Design Software ukishindwa kukunua kajaribu kuzitafuta torrents.natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
ROSEMARIE.natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
ROSEMARIE.
Pole sana. Mimi pia natumia hii hii dreamweaver tangu mx version hadi sasa natumia CS5.
Ni program ngumu kidogo lakini ni nzuri sana. Ni rahisi ukifuatana nayo.
Nakushauri kama utaweza tafuta resources mbalimbali kwenye google na ujifunze mwenyewe online. Mimi nimeweza kufanya hivyo na kufanikiwa. Hutapata cms ambayo ni nzuri na ni rahisi kutumia.
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
Check HAPA Best Website Design Software ukishindwa kukunua kajaribu kuzitafuta torrents.
Zipo simple unaingiza mambo yako tu
Mkuu kama kashindwa hiyo hizi kweli itakuwa rahisi kwake? lazima atumie kichwa kusoma na kufanya kazi. kama kuna sehemu hajui katika dreamweaver aje na swali wapi kashindwa asaidiwe! lakini hizi software ulizo refer si lahisi kiasi hicho!Check HAPA Best Website Design Software ukishindwa kukunua kajaribu kuzitafuta torrents.
Zipo simple unaingiza mambo yako tu
Sema wapi unakwama mkuu nikusaidie. Hivi unatumia version gani ya dreamweaver?labda nitapata ki-lesson kidogo hapa kutoka kwako
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
Kwa mawazo haya hutaeleimika. Kama % 70 ya watz wakiwa na akili kama yako hatutaweza kwenda kwenye sayari zingine. Fani ya ICT hata wewe unatakiwa kujua. Ndio sababu hata kwenye hiyo fani ya utabibu kuna kitu kinaitwa first aid bwana. Maana yake unaweza jitibu mwenyewe.Nakushauri, uwaachie wenye fani hiyo. Sio lazima ujue kila kitu hapa duniani.
Nahofia mwishoe mtaulizia software rahisi ya kutibu wagonjwa wakati udaktari hujasomea.
Tuletee hizo kazi tukufanyieni.
Mimi nina kitabu kinaitwa Foundation Website Creation with CSS, XHTML, and JavaScriptnatumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
Aaah mkulu unafurahisha sana, hivi ujui kuwa wabongo hawapendi kuumiza vichwa vyao? Huku kupenda C+P kuna turudisha nyuma sana....Nakushauri, uwaachie wenye fani hiyo. Sio lazima ujue kila kitu hapa duniani.Nahofia mwishoe mtaulizia software rahisi ya kutibu wagonjwa wakati udaktari hujasomea.Tuletee hizo kazi tukufanyieni.
Tatizo ni kwamba mwanzisha thread anaonekana hana msingi wa kile anachotaka kufanya, badala ya yeye kutaka kujifunza kuanzia step ya 1 yeye anataka kukimbilia step ya 100 ki2 ambacho hakiwezekani, haya bana jitahidini kumpatia hizo links.Kwa mawazo haya hutaeleimika. Kama % 70 ya watz wakiwa na akili kama yako hatutaweza kwenda kwenye sayari zingine. Fani ya ICT hata wewe unatakiwa kujua. Ndio sababu hata kwenye hiyo fani ya utabibu kuna kitu kinaitwa first aid bwana. Maana yake unaweza jitibu mwenyewe.
Kwa mawazo haya hutaeleimika. Kama % 70 ya watz wakiwa na akili kama yako hatutaweza kwenda kwenye sayari zingine. Fani ya ICT hata wewe unatakiwa kujua. Ndio sababu hata kwenye hiyo fani ya utabibu kuna kitu kinaitwa first aid bwana. Maana yake unaweza jitibu mwenyewe.
Kwa hiyo ndio unamsaidiaje? kwa kumbeza kama unavyofanya au kwa kumuelekeza? yeye kaleta swali, tunachotakiwa ni kumjibu kwa maelekezo yenye mawazo yaliyo constructive kama unavyofikiri anaweza kusaidika na sio kumbeza.Tatizo ni kwamba mwanzisha thread anaonekana hana msingi wa kile anachotaka kufanya, badala ya yeye kutaka kujifunza kuanzia step ya 1 yeye anataka kukimbilia step ya 100 ki2 ambacho hakiwezekani, haya bana jitahidini kumpatia hizo links.
Mimi namshauri muuliza suali aende shule kama atakua hawezi kufuata "internet tutorials" kwani Adobe Dreamweaver ni IDE ya kiume na imeunganisha technology nyingi za web developments so hata akifuata hiyo video, atajikuta bado kuna mambo atataka kufanya bila kuwa na ushauri au uwezo nayo-myself am dreamweaver teacher but si shauri kitu kama hiki kuweza kukisoma kwa minotisi tu ya online-it need clear and live discussion between teacher and student.