Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,108
habari zenu jamani,
mimi si mfuasi wa chama cha Mapinduzi, na wala sitarajii kuwa mfuasi wake. Leo nimeukumbuka mji wa Dodoma, mji huu ninaamini kuwa kuendelea kwake angalau hadi hapo ulipo ni juhudi binafsi za CCm kwa kulazimisha uwe makao makuu ya nchi na kukonvisi vyuo kujengwa huko kwa wingi!
Frankly, nimefika Dodoma mara kadhaa, ukifika kipindi si cho cha bunge na vyuo vimefungwa mji hupoa sana!! na panaonekana hata biashara zake sio saana!! na pia kama isingekuwa plan ya CCm kuhamishia makao makuu hapo hata hayo majengo ya wizara mbalimbali yasingekuwepo vingekuwepo viofisi vidogo vidogo vya wizara
Pamoja na ukweli huu kuwa ka-mji haka kwa sasa kamekua kidogo lakini tunajua kuwa laiti isingekuwa "kupewa" jina la mji mkuu "theoretically" basi inawezekana Singida pangeweza kuwa pazuri kuliko Idodomya
Kwa mtazamo huu ndio maana naona kuwa hawa watu wa Idodomya ili kurudisha fadhila waendelee tu, kuwapa hao wazee wa ccm ili waendelee kuwaongoza hapo kwao. Yaani hata kama Tz yoote itachukuliwa na wapinzani basi awepo mmbunge mmoja tu wa CCm kutoka jimbo la dodoma mjini
Kwa lugha nyingine pia ninachokiongea kwa upande wa pili ni kuwa siku CCM ikiona anapatikana hata diwani mmoja wa chama tofauti na wao kwa Dodoma wajue baasi wananchi wamebadilika, yaani Dodoma iwe reference point ya wa kama bado wanakubalika kiasi gani na wananchi.
hayo ni yangu karibu na wewe tukusikie juu ya hili