BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,059
- 10,519
Kwa vile tulichagua wenyewe Dodoma kuwa makao makuu ya nchi basi ni vyema kuhakikisha huduma za kimsingi kama bandari zinahamia Mji mkuu ili kuwapa access wananchi wote Watanzania kuwa karibu na huduma hizo na kwa wakati huohuo itasaidia kupunguza population ya watu na malori kwenye mji wa Dar es salaam. Pia itakuwa tumewasogezea huduma za kibandari nchi zinazotegemea bandari ya Dar es salaam.
Inawezekana vipi? Twende taratibu na uhakika wote mtanielewa na kusupport hichi nacho kiandika jaribu kuangalia ukubwa wa Bandari ya Dar kuanzia pale posta kwenye boti za kuendea Zanzibar mpaka kurasini ni wazi lile eneo linaweza kupatikana Dodoma na likawa kubwa zaidi ya mara tano in terms la eneo la maji yaani base, miundombinu majengo pamoja na eneo kubwa la kuhifadhia shehena (container)
Linachimbwa eneo ili kuendana na kina cha bahari kitu kizuri ule udongo wausafirishe mpaka eneo la Jangwani kuwaondolea hadha ya mafuriko wakazi wa eneo hilo.
Sasa maji ya bahari pamoja na meli zitafikaje Dodoma kwenye hii dunia hakuna kinachoshindikana panapokuwa na nia ya kweli, nani leo angeweza kuamini ubunifu wa ndege inayobeba tani nyingi kupaa angani wakati wewe na kilo zako 60 unashindwa kuruka kama mmasai.
Jaribu kufuatilia ujenzi wa Suez canal na panama canal basi ni wazi tukiwa na nia na kuamua kuitekeleza basi the end of 2024 bahari inakuwa ishafika Dodoma na utendaji kazi unaanza rasmi.
Pata picha Dodoma itavyopendeza na kuwa na tija kiuchumi endapo bahari itakapokuwa ndani ya Dodoma.