NItashangaa sana siku Dodoma mjini ikichukuliwa na wapinzani

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
habari zenu jamani,

mimi si mfuasi wa chama cha Mapinduzi, na wala sitarajii kuwa mfuasi wake. Leo nimeukumbuka mji wa Dodoma, mji huu ninaamini kuwa kuendelea kwake angalau hadi hapo ulipo ni juhudi binafsi za CCm kwa kulazimisha uwe makao makuu ya nchi na kukonvisi vyuo kujengwa huko kwa wingi!

Frankly, nimefika Dodoma mara kadhaa, ukifika kipindi si cho cha bunge na vyuo vimefungwa mji hupoa sana!! na panaonekana hata biashara zake sio saana!! na pia kama isingekuwa plan ya CCm kuhamishia makao makuu hapo hata hayo majengo ya wizara mbalimbali yasingekuwepo vingekuwepo viofisi vidogo vidogo vya wizara

Pamoja na ukweli huu kuwa ka-mji haka kwa sasa kamekua kidogo lakini tunajua kuwa laiti isingekuwa "kupewa" jina la mji mkuu "theoretically" basi inawezekana Singida pangeweza kuwa pazuri kuliko Idodomya

Kwa mtazamo huu ndio maana naona kuwa hawa watu wa Idodomya ili kurudisha fadhila waendelee tu, kuwapa hao wazee wa ccm ili waendelee kuwaongoza hapo kwao. Yaani hata kama Tz yoote itachukuliwa na wapinzani basi awepo mmbunge mmoja tu wa CCm kutoka jimbo la dodoma mjini

Kwa lugha nyingine pia ninachokiongea kwa upande wa pili ni kuwa siku CCM ikiona anapatikana hata diwani mmoja wa chama tofauti na wao kwa Dodoma wajue baasi wananchi wamebadilika, yaani Dodoma iwe reference point ya wa kama bado wanakubalika kiasi gani na wananchi.

hayo ni yangu karibu na wewe tukusikie juu ya hili
 
ni mawaz tu kaka, I agree to disagree, sijui umesoma hadi mwisho hiyo post?
 
Kweli kabisa ccm watabakiwa na mikoa miwili dodoma na pwani kwa sababu watu wake 98%migongo ya fikra zao imeinama hivyo ni rahisi kuwa pandia
 
Diwani wa kata ya Makulu pale Dodoma mjini ni MH BILINGI<CHADEMA>.Kuna wakati Dodoma mjini ilitaka kuchukuliwa na upinzani kama si kufariki kwa mgombea wa CDM mda mfupi kabla ya uchaguzi.Nakumbuka alikuwa akiitwa Mhella.
 
Umeconclude vizuri mwishoni.Kwamba siku akipatikana hata diwani wa upinzani kwenye mji wa dodoma basi hiyo itakuwa ishara ya mabadiliko.Tayari hilo limetokea mkuu.Diwani wa kata ya makulu ni kutoka chadema!Kwahiyo hizo blah blah zingine zoote zinafutika kuanzia hapo.Andika analysis nyingine kwa kuzingatia hilo ambalo hukulijua kabla.
 
hii nadhani ccm wjue ni taa nyekundu kwao
 
Umeconclude vizuri mwishoni.Kwamba siku akipatikana hata diwani wa upinzani kwenye mji wa dodoma basi hiyo itakuwa ishara ya mabadiliko.Tayari hilo limetokea mkuu.Diwani wa kata ya makulu ni kutoka chadema!Kwahiyo hizo blah blah zingine zoote zinafutika kuanzia hapo.Andika analysis nyingine kwa kuzingatia hilo ambalo hukulijua kabla.

nilishawahi kusikia hilo, na conclusion yangu ilikuwa kuwaonyesha hawa wapendwa kuwa ukiona hata pale ambapo ni pa mwisho kabisa kukugeuka bora ujisalimishe kwa maana ya kwamba kama hata Dodoma itawabdilikia basi muda wao umekwisha ndio maana hapo juu nimesema hiyo ni ed light kwao
 
Kweli kabisa ccm watabakiwa na mikoa miwili dodoma na pwani kwa sababu watu wake 98%migongo ya fikra zao imeinama hivyo ni rahisi kuwa pandia

lakini hata hiyo wana dalili ya kuipoteza.... i wish to hear from ccm natives what do they say about this
 
Kweli kabisa ccm watabakiwa na mikoa miwili dodoma na pwani kwa sababu watu wake 98%migongo ya fikra zao imeinama hivyo ni rahisi kuwa pandia

pwani 2hangaike nn 2shatoa 2 kuingia magogon,mwiny mkuranga pale mponga,jk chalinze pale msoga,labda kaskazin wana hamu nao lkn mtausikia nyamafu we
 
fikra mgando huzaa mawazo mpauko,mpaka padre aache kugombea,cc ha2wez kupeleka mfumo ndana wa cdm pale magogoni
 
Back
Top Bottom