Nitashangaa nikigundua. . . . .

Loh, u made my day sir

lol jamani miye mwanangu mpenzi, ma ever loving son Ronn M, i love you. nitashangaa sana nikigundua kuna mtu anakumistreat kwa jinsi mimi mama yako ninavyokupenda.

nitashangaa sana siku my most lovely lito bros Excellent Eiyer, Mbimbinho and my swt lito sister Smile wakiacha kuwa wazuri kama jinsi walivyo sasa they are so darlin. jamani.
 
Last edited by a moderator:

Thats my loving mom! Thanks for your loving heart mamito! Loving u sweet mom. Kisses
 
its ma pleasure and so sweet to have you ma lovely son. always your mom is there for you ma love. stay blessed ma son.
 
lol jamani miye mwanangu mpenzi, ma ever loving son Ronn M, i love you. nitashangaa sana nikigundua kuna mtu anakumistreat kwa jinsi mimi mama yako ninavyokupenda.

nitashangaa sana siku my most lovely lito bros Excellent Eiyer, Mbimbinho and my swt lito sister Smile wakiacha kuwa wazuri kama jinsi walivyo sasa they are so darlin. jamani.

That's my beautiful and caring sister, how lucky I am to have you my dear. Don't worry, I hope I'll be mzuri always.:smile-big:
 
mitaa yangu Tandale Kwa Tumbo, gongo la mboto hunipeleki, tena ili nilipe nauli nusu huwa navaa yunifomu za Jangwani.
 
Sikupatii picha na uniform za jangwani! Hazina marinda zile kama Mungu kakujaliah, loh
 
Nitashangaa nikikuta charminglady ni mchungaji Lwakatare na beibe nasty ni Sofia simba duuh:flypig:
 
mimi ntshangaa kugundua kwamba wewe ndiye mdogo wangu wa mwisho home lol. nitashangaa sana nikigundua Bazazi ni mwanafunzi wangu pale shule lol!

Qa kweli kitakuwa kituko cha mwaka mwanafunzi mwenyewe siku zote mawazo yake ni kushoto tu, kila wakati yuko kinyume na wenzake. gfsonwin chapa viboko kwa kwenda mbele
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom