King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,823
- 24,781
Kumbe babu asprin anajiweza eeh? Yaani toka juzi hadi leo hangover ipo? Mkuyati hauna mwenyeji, kha!
nahitaji therapy, nilichoka sana juzi.
nahitaji therapy, nilichoka sana juzi.
Hahahaaaa huwezin jua kwa kuwa hata akiwa mpenzi huwezi kujuaHahahahaha hapana......
Mume wangu mie si mpenzi wa jf......(mmmmmmh.......)
Heheheeee Ronn M bhana lolSasa hii ya kuwa mume wa BADILI TABIA tamu hii
Hahahahaha hapana......
Mume wangu mie si mpenzi wa jf......(mmmmmmh.......)
HahahaahahaaaaaaHahahaaaaa.....lazima ushangae
Mie mbona ni dogo Janja.
Hahahaahahaaaaaa
Heri dogo janja ......Kuliko kubwa jinga
Dah unanikumbusha Arumeru wakati wa kampeniUmeona eeh!
sasa hivi kova aje kivingine wallah! hapo kwako ushamuacha uchi.Si umeona nlivyoigaragaraza serikali? Mie balaa!