African American
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 165
- 62
- Thread starter
- #81
ona smg hapa http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/3/3a/Hkmp5count-terr-wiki.jpgSmg ni replica ya ak 47..., kila kitu ni similar kwa ak 47, difference ni kwamba moja anatengeneza mrusi na nyingine anatengeneza mchina kwa agreement na mrusi..., ili ku-keep value ya ak47, mrusi alikataa replica inayotengenezwa china kuwa branded ak47,
sifa na tabia za smg na ak47, ni sawa sawa,,,,