Nitapataje AK 47 kama ADAM MALIMA?

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
Ndugu, mimi huwa natembea usiku kutokana na majukumu yangu binafsi. Nataka kupata AK 47 kwa sababu maadui wanaweza kuja na silaha nzito. Mimi najali sana uhai wangu naomba anayejua utaratibu wa kupata hiyo bunduki kama ile ya malima. Mwanzoni nilidhani ni majeshi katika nchi hii yanaruhusiwa kumiliki kumbe hata sisi raia tunaruhusiwa?tafadhali naombeni utaratibu ili nipate moja.
 
Tembelea maeneo ya Gongo la Mboto na Mbagala nilisikia kuna watu waliokota AK 47 nyingi kipindi kile mabomu yalipolipuka.
 
Malima alikuwa na SMG na sio AKalashnikov 47...

Sijui sheria kama imebadilishwa lakini mtu binafsi mara nyingi hawaruhusu kumiliki Machine Gun, hasa iliyo automatic kama AK 47. Na hata hii ya Malima kuwa na Sub Machine Gun inahitaji maelezo kutoka kwa poliCCM kama ni halali ingawa wataturubuni kuwa ni halali
 
Smg / ak47 siyo tamu kama shortgun pump action . Alafu raha uwe unatumia risasi ya kuulia tembo.
 
khaa!...mbaya wewe...risasi ya tembo kwa binadamu mwenzio.....

binadam ni wabaya kuliko wanyama swty . Ukizingatia wezi wa Arusha wote wana silaha kali lazima tujihami . Nategemea kuongeza na mabomu ya kurusha kwa mkono.
 
Back
Top Bottom