Nitapataje AK 47 kama ADAM MALIMA?

ila kwa hizi semi-automatic rifles eg smg, ak 47, m16,,, kiboko yao ni m4.., very light, super accurate,, na butt(kitako) yake inakua na coil (re-coil system) ili ku-absorb shock wakati wa kumwaga njugu,,,
Kwa asiyezifahamu ni zile wanabeba mabody-guard wa marekani wakiwa kwny high profile guard (yani pale wasipobeba uzi gun zao ndani ya suti)...,
coose one for your loved ones smg - Google Search
 
Smg.jpg
kuna kitu nimekuwa nikikitafakari nikahisi kina ukweli ndani yake kuwa malima ni TISS
japokuwa ni naibu waziri but at the same time ni TISS kwa kuwa yeye kukutwa na aina hiyo ya silaha ya SMG (SUB MACHINE GUN) ambayo wanatumia hawa jamaa wa tiss kama hiyo hapo juu
vile vile hiyo smg hutumiwa hata na vijana wa cia kama picha hii inavyojielezea
images.jpg

sio hayo tu agency mbali mbali zilikuwa zinatumia bunduki hizo kuanzia kipindi cha kina regan aliyekuwa raisi wa marekani kama uonavyo hapa chini
reagan_assassination_attempt.jpg
KWAHIYO KAMANDA WA POLISI ANAWEZA AKAWA YUKO RIGHT KUWA YEYE HAIMILIKI ILA MALIMA ANAWEZA KUWA ANAIMILIKI KWA KUWA YEYE NI TISS
HEBU WENYE DATA ZAIDI WAJARIBU KUTUSAIDIA HAPA
 
View attachment 49325
kuna kitu nimekuwa nikikitafakari nikahisi kina ukweli ndani yake kuwa malima ni TISS
japokuwa ni naibu waziri but at the same time ni TISS kwa kuwa yeye kukutwa na aina hiyo ya silaha ya SMG (SUB MACHINE GUN) ambayo wanatumia hawa jamaa wa tiss kama hiyo hapo juu
vile vile hiyo smg hutumiwa hata na vijana wa cia kama picha hii inavyojielezea
View attachment 49328

sio hayo tu agency mbali mbali zilikuwa zinatumia bunduki hizo kuanzia kipindi cha kina regan aliyekuwa raisi wa marekani kama uonavyo hapa chini
View attachment 49330
KWAHIYO KAMANDA WA POLISI ANAWEZA AKAWA YUKO RIGHT KUWA YEYE HAIMILIKI ILA MALIMA ANAWEZA KUWA ANAIMILIKI KWA KUWA YEYE NI TISS
HEBU WENYE DATA ZAIDI WAJARIBU KUTUSAIDIA HAPA

Hawa sio cia ni secret service
 
ahhhhh tushafika huko ghafla tanzania hii tunaogopa mlio wa glass sasa AK-47 ya nn kaka
mwanza kuna jamaa wanauza maji ya kuwasha fresh tuuu wacheck wale wakupe hayo tuuuu yatafaa
 
ak 47 !!!! hakuwa na hiyo malima alikuwa na smg na bastola tatu na hajaulizwa chochote juu ya uhalali wa silaha hizo yuko anapeta nazo kwenye gari hata ofcn anaendaga nazo mawanamzamila
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom