CIA mgumu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2022
- 963
- 1,923
Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani.
Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal na je naweza kufunga panel ngapi ambayo zinaweza kusukuma mashine ya maji kwa wingi kwa ajili ya umwagiliaji.