Nitagombea Urais - Kisandu Deogratius

NITAGOMBEA URAIS

Watanzania wanahitaji MABADILIKO na MABADILIKO haya hayawezi kuja bila Watanzania KUAMUA. Na bila Mtanzania mmoja kujitoa kuongoza MABADILIKO haya, na mimi ni mmoja wao. Nimedhamiria, ninaweza kuwa raisi wa Tanzania leo, kesho au keshokutwa. Watanzania wanahitaji kujua KISANDU Deogratius ni nani?Anafanya nini na ana malengo gani kwa mustakabali wa Taifa la Tanzania.

Mwalimu Nyerere alipewa mamlaka makubwa ya kuongoza nchi yetu akiwa hajawahi kushika madaraka makubwa serikalini kama Uwaziri (kabla ya uhuru), na wala hajawahi kuwa Mbunge lakini aliweza kuwaunganisha watanzania na kupata uhuru wa kisiasa. Sasa ni wakati wa kufanya mageuzi ya kiuchumi. Kazi hii lazima iongozwe na Mtanzania Mmoja na mimi ni mmoja wao ambaye sijawahi kuwa Mbunge wala Waziri zaidi ya uongozi ndani ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Tulidhani Marais ambao wameliongoza Taifa letu wakiwa na uzoefu wa Ubunge, Uwaziri n.k. kabla ya kupata nafasi ya Urais wangeweza kuliongoza Taifa hili kwa ufanisi zaidi kushinda Mwalimu Nyerere lakini badala yake wameonyesha udhaifu mkubwa ambao unatupa tafsiri kwamba taifa hili halihitaji kiongozi wenye uzoefu mkubwa bali kiongozi mwenye maono, umakini, uadilifu na hofu ya Mungu.

Mwanasiasa yoyote mwenye kipaji na maono hawazi jana na leo, anawaza jana, leo, kesho, keshokutwa na mtondogoo n.k. Jambo la msingi ni kutazama ni kwa jinsi gani tunaweza kupata UKOMBOZI WA PILI WA TAIFA LETU.

NIMEDHAMIRIA, NINAWEZA, Nitagombea Urais

Deogratius KISANDU
Katibu Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA)
Mkoa wa Tanga

3 Octoba 2012

Raisi wa nchi gani?
 
samahani hivi mwakani ndio unagombea eee
 
Hili TAMKO la mwaka 2012 ndilo linalotumiwa leo na wanasiasa baadhi, hebu tuendelee kujadili
 
Mwalimu Nyerere alikuwa mbunge wa morogoro mjini 1953 baadae akajiudhuru. Sio kweli kuwa hakuwahi kuwa mbunge. Kama umetudanganya hili tu basi hufai wala hutufai
 
Jamani mh kisandu bado ana nia ya kugombea urais wa nchi hii..maana wenzake naona wanajitokeza
 
Ha ha CDM bhana Eti Nyerere akuwai kua Waziri.. Wakati Nyerere alikua Waziri mkuu.. Akausoma Mchezo akaamua kujiuzuru ili awe Rais.. Sababu Nchi inakwenda kua Jamhuri
 
Naishi kwa kufuata Katiba ya Nchi na maono aliyonipa Mungu na sio kunishinikiza kwa maslahi ya watu Fulani.

Nilikwisha sema Lazima "Nitakuja kuwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania" na sio kuishia kwenye Uwaziri Mkuu kama maadui zangu walivyopanga.
Leo nimecheka eti Deogratius tunampa mke mtoto wa Rais wa Dunia hiyo inatosha, mnafikiri mke ndio suluhisho la Maono yangu, mmechemka.

I can, I will, I must be a President on 2020.

Next President by Jesus Name

Deogratius N Kisandu
 
Hilo linawezekana kabisa Mkuu lakini cha kwanza kabisa kabla ya kufikia lengo lako ni kuhakikisha afya yako iko sawa kuweza kumudu majukumu makubwa ya kuiongoza nchi yenye matatizo mengi sana. Kila la heri kwenye kupima afya yako Mkuu.
 
Kwahiyo Deo inavyoonekana kama wewe na maadui zako munao uhakika wa weww kuwa waziri mkuu siku ya baadae au mimi sijakusoma vizuri.

Kipindi upo cdm ulikuwa unaelewa kidogo,sijui baadae kimekupata nini sijui.
 
Back
Top Bottom