Nitafanya KESHO

afu ntakukata hicho kidole cha tatu?!!
Kumbe ulikuwa unafuatilia mpambano?

Bora utoe roho yangu kuliko unikate hichi kidole!! eeh nlikua nafatilia ila naona mpk sahivi si simba wala si yanga yaani bila bila!!
MAPROSOO.
 
Back
Top Bottom