Mke wa mtu ananisumbua sana nimemkanya hataki kusikia

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Heri ya mwaka mpya na habari za siku nyingi.

Mwaka jana nilikutana na huyu binti wa kirangi katika mazingira yangu ya kazi, sikujua kama ni mke wa mtu tukawa kama marafiki huku nikimsaidia mambo ya hapa na pale ila katika utani utani baina ya mwanaume na mwanamke nikajikuta na mtongoza alikaza sana ila mwishowe binti akaridhia kabisa tuwe wapenzi ila ndoa alisema muda bado tusubiri kwanza maana mimi nilikua natafuta mke

Ndugu katika mahusiano yetu nilifanikiwa kumnyandua mara kadha wa kadha ila kunakipindi nikimtoa out alikua kama hayupo sawa anaonekana mtu wa mawazo na mashaka mashaka na wakati mwingine anakua na haraka haraka zisizo eleweka.

Mimi ili kumpima na nijue kwanini yupo hivyo nikaanza hadi kupiga simu usiku wa manane inaita tuu haipokelewi na wakati mwingine akipokea anaonekana kuongea kwa mashaka na mwenye hofu. Tuliendelea hivyo hivyo baadae nikasema acha nimtake leo alale nje ya nyumba maana alisema anaishi mwenyewe, nikafanya mpango wa kumtoa out chukua lodge na kuanza kumbania humo ndani, ndugu nilifunga mlango na kuficha funguo ili asichomoke lengo ni kujua kwanini ana mashaka mno tukiwa out sehemu za makutano ya watu.

Nilimfungia mpaka saa tatu usiku huku nikimnyandua na kumweleza leo tunalaa hapa hapa tutaondoka kesho , aligoma kabisa nikajifanya simsikii, baadae ikabidi aanze kuzozana nika mwambia leo hutoki hapa lazima tulale gafla akaanza kulia (machozi ya kuigiza, simnajua tena wanawake) huku akisema ni muue tuu kuliko alale nje nikaona isiwe tabu nikamjibu kama kufa utakufa tu nikavuta shuka na kujifunika aliendelea kulia na kujitetea ila alipoona sielewi ndiyo ikabidi anichane wazi kuwa yeye ni mke wa mtu na ni mama wa watoto wa tatu nikabaki na shangaa maana hata kimuonekano haonyeshi kabisa kama ni mama wa watoto nikaona ananidanganya nikampuuza.

Sijakaa sawa ghafla akapigiwa simu na mwanamke mwingine rafiki yake akimuukiza yupo wapi akawa anasita kujibu nikaona acha atajijua mwenyewe, kweli tulivutana mpaka saa nne hivi usiku nikaona acha aondoke zake tuu nilimrudisha mpaka mitaa ya kwao nikamuacha hapo akawa anatembea kwa kukimbia huku akigeuka huku na kule.

Mimi nilibaki kutafakari sana kauli yake kuwa ""ni mke wa mtu na ni mama wa watoto wa tatu" nikaona acha nitafanya uchunguzi

Kweli katika kuchunguza nikajua kweli ni mke wa mtu na nilifanikiwa jua watoto wake wawili huyo watatu siku mjua nikaona acha ni mpige chini na mazoe sitaki tena.

Tokea hapo nika mblock ila akawa ananitafuta kwa namba mpya kila mara na mkanya hataki kabisa kusikia, na mtishia nita muambia mumeo unanisumbua ila wala hajali chochote anasema kama ni kuuliwa acha tuu auliwe ila ananipenda,

Sasa kawa king'ang'anizi na mara nyingi akikwazana na mume wake ataniandikia gazeti lenye ugomvi wao wala sijibu chochote kile .

Wakuu kuna kipindi anajitoa ufahamu anakuja mpaka kazi kwangu naona sasa analeta shida. Ndugu ni shaurini ni mfanyaje huyu mwanamke ni mueleze mumeo au ni mkaushie tuu au nimtengenezee mtego akija kazini kwangu akamatwe kama muhalifu mwingine awekwe lockup siku kadhaa kwanza?
 
Huyo endelea kumla ila zingatia haya:-

1:hakikisha unamla na ndimu

2: mlie mbali sana angalau si chini ya kilometa 15-20 kutoka anapokaa nasii chini ya kikometa 25 -30 kutoka unapokaa wewe

3:mle mumewe akiwa job au akiwa kasafiri usiku usimgandegande kumbuka huyo ni mke wa mtu

4: Hakikisha laini ambayo unawasiliana nae haijasajiliwa na namba yako ya nida na wala haijawahi kutumika kwenye simu yako unayoweka namba zako halali

5: Usiwe unamtumia meseji hakikisha unapiga simu tuu

6: Unapo mwelekeza mtaenda kukutana hakikisha unabadikisha juu kwa juu zaidi ya mara tatu , kama mnakutana kituo X akifika mwambie tunaenda sehemu Y , alafu wewe mpeleke kimnyakimya sehemu Z.

7: Usiwe na mazoe ya kumpeleka lodge ya aina moja kila mara badilisha lodge na hakikisha anawahi kurudi nyumbani

8: Hakikisha hapajui nyumbani kwako kabisa hata iwaje, mazoea ya kazini akiendeleza ambia walinzi wam-suspect, na wamuweke kizuizini ila yeye asijue kama mi njama zako

9: Hakikisha una mazoezi ya self defence likitokea lolote ujihami, usikae legelege mpaka ukaja kupakwa mafuta, ni heri wa kuue kuliko wakupake mafuta huko nyuma

10: Ukila mke wa mtu jua na wako ataliwa na hata usipo kula mke wa mtu vile vile wako ataliwa tuu, wanawake ni wa hovyo sana

* Epuka kula mke wa rafiki yako au mwanaume mwezako unayemfahamu kwa namna yeyote ile*
 
Naona Kama umemaliza vile. 😂😂
 
Nimejaribu hii imeshindikana
How?
Anakuchezea akili
Mpk akupe magonjwa ndo utaelewa?
Au mume asikie mdisha yako yawe hatarini nfo utaelewa?
Km angekuwa anakupenda kweli, kwanza kabisa asingekuficha tangu mwanzo!
Acha ujinga wewe, hujaamua tu kumbadirikia.
 
Umeyatimba mzee, we jilipue tuu mwambie Mme wake ili ubaki huru akijua kwa watu wa pembeni itakua hatari zaidi kwako
Nawaza sana nimwambia mume wake japo sijui reaction ya mume wake itakuaje kwa mkewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom