Nisaidieni

Brightman Jr

JF-Expert Member
Mar 22, 2009
1,225
232
Waheshimiwa simu yangu mara kwa mara huwa inazima pale ninapopitia hoja kadhaa za wanaJF wenzangu. Ninapo click ili nione mwenzangu amesema lipi ili nichangie, simu huanza kusearch na kisha huzima ghafla na kujiwasha tena. Naomba kusaidiwa nifanyaje kuondoa tatizo hili?
 
Ningependa kujuwa hiyo simu yako ni ya aina gani ? Ili tujaribu kukusaidia.
 
Kwanza jiulize hiyo simu umetumia kwa muda gani..kwani matumizi reasonable ya simu ni chini ya miaka 2.. baada ya hapo gharama za matengenezo ni ugonjwa wa moyo,,na zaweza kuwa zaidi ya simu mpya.. Ushauri wangu kama umetumia zaidi ya miaka 2 usisumbuke..tafuta mpya..
 
Tafuta simu nyingine hiyo ni aina tu ya simu nadhani "cache" yake ni ndogo na hakuna ujanja hapo.
 
Waheshimiwa asante kwa ushauri wenu mzuri. Naona ninunue simu nyingine; ila ni simu ipi bora maana hii niliyo nayo ni Nokia 3110C.
 
Waheshimiwa asante kwa ushauri wenu mzuri. Naona ninunue simu nyingine; ila ni simu ipi bora maana hii niliyo nayo ni Nokia 3110C.

nunua westpoint, ama panasonic, ama hitach, ama sony, ama national panasonic. hizi nzuri sana
 
Back
Top Bottom