Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 475
habari zenu wana jf natumaini wengi wenu hamjambo . jamani kuna msichana tuko naye course moja nampenda sana nataka awe mchumba wangu, leo tukiwa darasani niliamua kukaa naye karibu alivyoniona akatabasamu huku akiniangalia machoni hapo ndipo moyo wangu ulinasa kama sumako nikahisi kuchanganyikiwa sijamtokea nipeni njia za kumpata