nisaidieni aina ya simu za nokia zinazosapoti 3G

anjnr

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
539
208
nilikuwa natumia nokia 5130c-2, nilipotaka baadhi ya huduma kwenye internet wanasema ni kwa ajili ya cm zenye3G. Naomba anayefaham aina ya cm hzo anisaidie, zile za nokia.
 
natumia nokia 5230 music xpress touch screen ni bomba mbaya kioo kikubwaaa naipata jf swafi saaana, youtube kwa saana clip wanazotundika jf zote zinafunguka ni 3g ya ukweli nakula DSTV mobile kwa saaaaana tu
 
Hivii hiyo inatofauti sana 5130 xpressMusic nayotumia? Kwa hii nadownld youtube video nk icpokuwa dstv inagoma, cjui ni settings au ndo hyo 3G? Anyway, i'm going to look for 5230. Thank you.
 
Hivii hiyo inatofauti sana 5130 xpressMusic nayotumia? Kwa hii nadownld youtube video nk icpokuwa dstv inagoma, cjui ni settings au ndo hyo 3G? Anyway, i'm going to look for 5230. Thank you.

Look for 5800 Xpressmusic or 5530 XpressMusic. But 5800 Xpress music is better, especially the Navigation edition.
 
tumia kama hii yangu ya E 71 ni nzuri sana na ndiyo huwa natumia kwenye jf hapa siku zote
 
Nami naomba ufafanuzi wa simu za 3g hasa wanaopata dstv mobile je ni kila mkoa hapa tanzania inapatika au ni DAR pekee,kwani nikisearch hapa moro naambiwa huduma hii kwa sasa haipo Tanzania ,E71 na N70 zote zimekataa
 
Nunua kacm simple tu kama N78,5320Xm,N79,zina feature nzur sana na zina 3.5g cnn,wi-fi na makorokoro kibao without breaking ur pocket!
 
nilikuwa natumia nokia 5130c-2, nilipotaka baadhi ya huduma kwenye internet wanasema ni kwa ajili ya cm zenye3G. Naomba anayefaham aina ya cm hzo anisaidie, zile za nokia.

Inawezekana una tatizo lingine au aliyekua jibu naye hakujua shida yako nini.

Tatizo kwanza ni kwa provider Mnara unaotumia kupoke na kurusha matangazo yake una support hiyo 3G???????? Simu ya mtumiaji ni kitu cha mwisho na simu nyngi hata hiyo nokia 5130 nadhani ni latest so haitakiwi kushindwa kuspport 3G.

Mbane service provider na omba technical customer service akuelewehe . wengine wanajibu jibu hata hawajui hiyo 3G ni nini hasa.
 
Mimi natumia Nokia 3110 Classic, wenyewe wakiliita JENEZA. 3.5G saafi kabisa, mixa ma Wi-Fi na makila kitu yani.
 
Back
Top Bottom