Habar wanajamii?,mi ni kijana wa kiume na mtanzania. Nimehitim digrii ya uhasibu(bachelor of Accountancy-2011) pia nina uzoefu wa miaka miwili as CASHIER,naomba yeyote mwenye nafasi ya kazi anisaidie maana maisha tight jamani. Asanteni.

acha usanii wewe! Usihesabu vi tempo ulvyofanyaga mwaka wa kwanza ukasema experience...anzia baada ya kuhitimu!
Hiyo degree ya MAHESABU cjui umeipataje....haya UE hiyo hapo chini!!
2012-2011= ....!!?????
nilisoma certificate ya uhasibu then nkafanya kazi as cashier miaka miwili halafu ndo nkaenda kusoma degree,sio fix other wise nielimishwe zaidi kuhusu masuala hayo ya experience
hakuna kilichosahaulika nadhani,inawezekana kbs kujiunga na digrii kama una certificate kwa udahili wa mature entry system...msaidieni ombi lake kama mna uwezo bwana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.