Nipo tayari kutoa ama kupoteza rasilimali zangu kuhakikisha Lowassa anaingia ikulu 2015

Wapiga debe tupo;
Mje na sera zinazosomeka lakini;
Mkikosea tu, tunageuka.
 
attachment.php
 
Nchi hii inahitaji watu wenye maadili mema, hekima, busara, na wenye uchungu na mali za umma. Watanzania hatuwezi kumpa nchi hii Lowassa fisadi na mwizi wa mali za umma. Watanzania tunajitambua muda ukifika tutamchagua mtu anayetufaa na tanayemtaka. Hatuna haja na hayo makundi yenu yasiyo na msingi!
 
Naona huyu ni mpya kabisa ,kaingia JF mwezi uliopita,sitashangaa endapo post zake zote zitakuwa ni za kutukuza Lowasa,sijui analipwa sh ngapi maskini ya Mungu?
 
Una habari mbowe na slaa ni vibaraka wa lowassa?

mara zote nakuambia na leo narudia tena kukuambia ( maana lusungo ni karibu sana na nyumbani kwetu ) , kwamba kuna kitu hukijui ! Waliohakikisha kwamba LOWASA ANANG'OLEWA NI WABUNGE MAKINI WA CDM NA DR SLAA AKIWEMO , adhabu hii aliipata baada ya kuficha baadhi ya mambo , labda NIKUNG'ATE SIKIO KIDOGO TULILENGA KUNG'OA WAWILI ! CDM HAICHEZI NA MAFISADI .
 
Vijana mnatumika sana, lakini ni vyema mkaelewa kuna watu wana nguvu na hawana kiherehere kama chenu,
Mwisho wa siku mtashangaa Nchi anachukua Stephen Masato Wassira.
Ha..!ha..!ha..! Huyo Wassira wako labda atupe unga wa ndele ila hivihivi tu achukui..!!
 
mara zote nakuambia na leo narudia tena kukuambia ( maana lusungo ni karibu sana na nyumbani kwetu ) , kwamba kuna kitu hukijui ! Waliohakikisha kwamba LOWASA ANANG'OLEWA NI WABUNGE MAKINI WA CDM NA DR SLAA AKIWEMO , adhabu hii aliipata baada ya kuficha baadhi ya mambo , labda NIKUNG'ATE SIKIO KIDOGO TULILENGA KUNG'OA WAWILI ! CDM HAICHEZI NA MAFISADI .

Babu anambembeleza lowassa ahamie CDM

Halafu we mnyakyusa? Kama jibu ndiyo basi kazi unayo maana kabila hilo na chadema wapi na wapi?
 
Nchi hii inahitaji watu wenye maadili mema, hekima, busara, na wenye uchungu na mali za umma. Watanzania hatuwezi kumpa nchi hii Lowassa fisadi na mwizi wa mali za umma. Watanzania tunajitambua muda ukifika tutamchagua mtu anayetufaa na tanayemtaka. Hatuna haja na hayo makundi yenu yasiyo na msingi![/QUOTE
Acha kumchafua Mh Lowasa bure alimwibia bibi yako au na kwa taarifa yk wenzio tunajua kilichoendelea ili kumchafua mh.EL ...mwacheni sasa nae afanye kile alichokuwa akikiwaza kwa ajili ya watanzania wote na wana E.Africa..!!
 
Babu anambembeleza lowassa ahamie CDM

Halafu we mnyakyusa? Kama jibu ndiyo basi kazi unayo maana kabila hilo na chadema wapi na wapi?

ukivuka boda kutoka malawi , bendera 10 za mwanzo utakazokutana nazo ni za CHADEMA ! VILE VITAMBAA VYA KIJANI WAKULIMA WANAVITUMIA MASHAMBANI KAMA VIFUKUZA NDEGE KULINDA MPUNGA ! UKIBISHA HII NTAKUSHANGAA SANA !
 
hayo mambo yenu huko UVCCM UNATULETA HAPA ! NENDENI HUKOHUKO LUMUMBA BHANA , MSITUPOTEZEE MUDA HAPA , MTU ALIYESHINDWA U PM BAADA YA MWAKA UNUSU TU UTAMPAJE KAZI KUBWA NAMNA HIYO WEWE ? MMEKWISHA AMBIWA RAIS AJAYE ATATOKANA NA UKAWA LAKINI BADO MNAHANGAIKA TU ! KWANI LOWASA YUKO UKAWA ?

.

Ukuwa ni tawi la ccm chunguza utafahamu!
 
tunataka kiongozi sio mtawala. Wenye kuchapa kazi kama Prof. Tibaijuka kakaa kimya ambae ndie kiongoz tunaemuhitaji tanzania kuwa\ rais ajae kwan kafanya mengi tanzania na duniani kwa ujumla. Kwamfano maji ya zanzibari yaliletwa na yeye kwa mradi ulioitwa ZAWA kipindi yupo UN. Karume ndie shahidi kwa hili. Mwambie asinganganie urais apumzike zake tu
 
hayo mambo yenu huko UVCCM UNATULETA HAPA ! NENDENI HUKOHUKO LUMUMBA BHANA , MSITUPOTEZEE MUDA HAPA , MTU ALIYESHINDWA U PM BAADA YA MWAKA UNUSU TU UTAMPAJE KAZI KUBWA NAMNA HIYO WEWE ? MMEKWISHA AMBIWA RAIS AJAYE ATATOKANA NA UKAWA LAKINI BADO MNAHANGAIKA TU ! KWANI LOWASA YUKO UKAWA ?

slaa asahau urais...
 
Mh Edward Ngoyai Lowassa ndiye candidate anayefaa kwa sasa kuipeperusha bendera ya CCM ktk kinyang'anyiro cha kugombea urais wa JMT.

Hao wanaojisumbua kwa kuhongwa vitiketi vya ndege kwenda Mbeya wenyewe wanajua kuwa moto wa Lowassa ni mkubwa.

Namuonya Mh Membe anayesaidiwa na nguvu ya Riziwani JK asahau kabisa kuhusu urais wa nchi hii, kama anataka urais aende kugombea urais wa wasafi classic....

Wapambe wa MEMBE wanaoongoza kumuibia Membe Pesa zake ni Mohammed Nyundo MNEC, Asenga Abubakar, Paul Makonda na Ally S. Happy...

Hawa wote wanajaribu kubuni miradi ya uongo ili wamuibie Mzee Membe pesa zake.....

MEMBE SHTUKA UNAIBIWA...

MWACHE LOWASSA ACHUKUE NCHI KUPITIA CCM ....

ENL TO IKULU 2015

Mkuu, kwa sababu rasilimali zako hukuzibainisha lakini inafahamika wazi rasilimali binafsi ni pamoja na sehemu zako nyeti (za siri) je, uko tayari kuzipoteza? Ukipoteza hizo basi, jamaa yako huyo tunaweza angalau kumfikiria huku tukijiuliza anaweza kukagua gwaride kwa speed inayotakiwa kama Commander in Chief (Amiri Jeshi Mkuu). Hatutaki Rais anayekagua gwaride huku anajizoazoa, magoti yanagongana.
 
Back
Top Bottom