Nipo tayari kutoa ama kupoteza rasilimali zangu kuhakikisha Lowassa anaingia ikulu 2015

Jun 21, 2014
49
9
Mh Edward Ngoyai Lowassa ndiye candidate anayefaa kwa sasa kuipeperusha bendera ya CCM ktk kinyang'anyiro cha kugombea urais wa JMT.

Hao wanaojisumbua kwa kuhongwa vitiketi vya ndege kwenda Mbeya wenyewe wanajua kuwa moto wa Lowassa ni mkubwa.

Namuonya Mh Membe anayesaidiwa na nguvu ya Riziwani JK asahau kabisa kuhusu urais wa nchi hii, kama anataka urais aende kugombea urais wa wasafi classic....

Wapambe wa MEMBE wanaoongoza kumuibia Membe Pesa zake ni Mohammed Nyundo MNEC, Asenga Abubakar, Paul Makonda na Ally S. Happy...

Hawa wote wanajaribu kubuni miradi ya uongo ili wamuibie Mzee Membe pesa zake.....

MEMBE SHTUKA UNAIBIWA...

MWACHE LOWASSA ACHUKUE NCHI KUPITIA CCM ....

ENL TO IKULU 2015
 
hayo mambo yenu huko UVCCM UNATULETA HAPA ! NENDENI HUKOHUKO LUMUMBA BHANA , MSITUPOTEZEE MUDA HAPA , MTU ALIYESHINDWA U PM BAADA YA MWAKA UNUSU TU UTAMPAJE KAZI KUBWA NAMNA HIYO WEWE ? MMEKWISHA AMBIWA RAIS AJAYE ATATOKANA NA UKAWA LAKINI BADO MNAHANGAIKA TU ! KWANI LOWASA YUKO UKAWA ?
 
Anayesema yuko tayari kupoteza mali zake kwa ajili ya faida kwa mwingine ni nani? Yaani ile kwako ili mtu fulani akale bata Ikulu halafu wewe unapiga miayo kisa tu umeuza vyako? Acheni masihara, labda kwakuwa umeamua kufunguka utuambie faida za baadaye utakazopata na namna gani utafidia mali zako zilizopotea mara baada ya Lowasa kuingia Ikulu. Mwenzako Komba sijui kama alifanikiwa kunusuru mali zake zisipigwe mnada kimchezo mchezo hivi hivi.
 
Join Date : 21st June 2014
Posts : 3

Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0

Amekuja na moto huyu mtoto, taratibu basi........
 
Mh Edward Ngoyai Lowassa ndiye candidate anayefaa kwa sasa kuipeperusha bendera ya CCM ktk kinyang'anyiro cha kugombea urais wa JMT.

Hao wanaojisumbua kwa kuhongwa vitiketi vya ndege kwenda Mbeya wenyewe wanajua kuwa moto wa Lowassa ni mkubwa.

Namuonya Mh Membe anayesaidiwa na nguvu ya Riziwani JK asahau kabisa kuhusu urais wa nchi hii, kama anataka urais aende kugombea urais wa wasafi classic....

Wapambe wa MEMBE wanaoongoza kumuibia Membe Pesa zake ni Mohammed Nyundo MNEC, Asenga Abubakar, Paul Makonda na Ally S. Happy...

Hawa wote wanajaribu kubuni miradi ya uongo ili wamuibie Mzee Membe pesa zake.....

MEMBE SHTUKA UNAIBIWA...

MWACHE LOWASSA ACHUKUE NCHI KUPITIA CCM ....

ENL TO IKULU 2015

Kweli mfa maji haishi kutapatapa. ccm kifo kinawasubiri 2015.
 
Tiketi ya Membe kwa uvccm
 
Attachments

  • 1404812626927.jpg
    1404812626927.jpg
    38.4 KB · Views: 503
Anayesema yuko tayari kupoteza mali zake kwa ajili ya faida kwa mwingine ni nani? Yaani ile kwako ili mtu fulani akale bata Ikulu halafu wewe unapiga miayo kisa tu umeuza vyako? Acheni masihara, labda kwakuwa umeamua kufunguka utuambie faida za baadaye utakazopata na namna gani utafidia mali zako zilizopotea mara baada ya Lowasa kuingia Ikulu. Mwenzako Komba sijui kama alifanikiwa kunusuru mali zake zisipigwe mnada kimchezo mchezo hivi hivi.

Kheri yao wenye huruma zaidi ya mshumaa....kwa maana......
...malizia mwenyewe
 
Tiketi ya Membe kwa uvccm

Kwahiyo huu ndio ushahidi kwa mujibu wa hoja yako mwenyewe. Dah! Kama ni Kesi Mahakamani inapigwa chini mara baada ya kusomwa tu. Document (tiketi) haionyeshi au haimtaji kabisa Membe.
 
Angesema Fred Lowasa Au Siyoi Sumari Tungesema Sawa. Ila We Kapuku Nenda Katafute Ugali Wa Watoto Wako.
 
hayo mambo yenu huko UVCCM UNATULETA HAPA ! NENDENI HUKOHUKO LUMUMBA BHANA , MSITUPOTEZEE MUDA HAPA , MTU ALIYESHINDWA U PM BAADA YA MWAKA UNUSU TU UTAMPAJE KAZI KUBWA NAMNA HIYO WEWE ? MMEKWISHA AMBIWA RAIS AJAYE ATATOKANA NA UKAWA LAKINI BADO MNAHANGAIKA TU ! KWANI LOWASA YUKO UKAWA ?

"Namuunga mkono Lowassa"- By Ndesamburo
 
Kheri yao wenye huruma zaidi ya mshumaa....kwa maana......
...malizia mwenyewe

Mkuu, mleta mada wala hafanani kabisa na mshumaa. Huyu atakuwa na maslahi binafsi ambayo anayapigania, ndo maana unasikia anajiandaa kuuza vyake. Ndo nikamuulizaje, kwavile ameamua kufunguka basi aweke wazi atafaidika na lipi endapo tu Lowasa atakuwa Rais. Atapiga hela kwenye gepu lipi analopigia mingo?
 
Mleta mada ana raslimali ipi zaidi ya hivi vibuku 7 anavyopewa na Nape?
 
Mh Edward Ngoyai Lowassa ndiye candidate anayefaa kwa sasa kuipeperusha bendera ya CCM ktk kinyang'anyiro cha kugombea urais wa JMT.

Hao wanaojisumbua kwa kuhongwa vitiketi vya ndege kwenda Mbeya wenyewe wanajua kuwa moto wa Lowassa ni mkubwa.

Namuonya Mh Membe anayesaidiwa na nguvu ya Riziwani JK asahau kabisa kuhusu urais wa nchi hii, kama anataka urais aende kugombea urais wa wasafi classic....

Wapambe wa MEMBE wanaoongoza kumuibia Membe Pesa zake ni Mohammed Nyundo MNEC, Asenga Abubakar, Paul Makonda na Ally S. Happy...

Hawa wote wanajaribu kubuni miradi ya uongo ili wamuibie Mzee Membe pesa zake.....

MEMBE SHTUKA UNAIBIWA...

MWACHE LOWASSA ACHUKUE NCHI KUPITIA CCM ....

ENL TO IKULU 2015

Mbona mwenywe lowassa yuko kwa identity yake? wewe mfwasi wake una id fake? tumia jina halisi tukujuwe ni fisadi wa wapi?
 
UKAWA ndio habari ya mjini na vijijini..nyie piganeni tuu ila 2015 ndo mwisho wenu...ccm hakuna yipya..kwa ushauri tu mkitaka mpate ushindi wa 2% muwekeni membe 2015
 
hayo mambo yenu huko UVCCM UNATULETA HAPA ! NENDENI HUKOHUKO LUMUMBA BHANA , MSITUPOTEZEE MUDA HAPA , MTU ALIYESHINDWA U PM BAADA YA MWAKA UNUSU TU UTAMPAJE KAZI KUBWA NAMNA HIYO WEWE ? MMEKWISHA AMBIWA RAIS AJAYE ATATOKANA NA UKAWA LAKINI BADO MNAHANGAIKA TU ! KWANI LOWASA YUKO UKAWA ?

Una habari mbowe na slaa ni vibaraka wa lowassa?
 
Mh Edward Ngoyai Lowassa ndiye candidate anayefaa kwa sasa kuipeperusha bendera ya CCM ktk kinyang'anyiro cha kugombea urais wa JMT.

Hao wanaojisumbua kwa kuhongwa vitiketi vya ndege kwenda Mbeya wenyewe wanajua kuwa moto wa Lowassa ni mkubwa.

Namuonya Mh Membe anayesaidiwa na nguvu ya Riziwani JK asahau kabisa kuhusu urais wa nchi hii, kama anataka urais aende kugombea urais wa wasafi classic....

Wapambe wa MEMBE wanaoongoza kumuibia Membe Pesa zake ni Mohammed Nyundo MNEC, Asenga Abubakar, Paul Makonda na Ally S. Happy...

Hawa wote wanajaribu kubuni miradi ya uongo ili wamuibie Mzee Membe pesa zake.....

MEMBE SHTUKA UNAIBIWA...

MWACHE LOWASSA ACHUKUE NCHI KUPITIA CCM ....

ENL TO IKULU 2015
Vijana mnatumika sana, lakini ni vyema mkaelewa kuna watu wana nguvu na hawana kiherehere kama chenu,
Mwisho wa siku mtashangaa Nchi anachukua Stephen Masato Wassira.
 
Mh Edward Ngoyai Lowassa ndiye candidate anayefaa kwa sasa kuipeperusha bendera ya CCM ktk kinyang'anyiro cha kugombea urais wa JMT.

Hao wanaojisumbua kwa kuhongwa vitiketi vya ndege kwenda Mbeya wenyewe wanajua kuwa moto wa Lowassa ni mkubwa.

Namuonya Mh Membe anayesaidiwa na nguvu ya Riziwani JK asahau kabisa kuhusu urais wa nchi hii, kama anataka urais aende kugombea urais wa wasafi classic....

Wapambe wa MEMBE wanaoongoza kumuibia Membe Pesa zake ni Mohammed Nyundo MNEC, Asenga Abubakar, Paul Makonda na Ally S. Happy...

Hawa wote wanajaribu kubuni miradi ya uongo ili wamuibie Mzee Membe pesa zake.....

MEMBE SHTUKA UNAIBIWA...

MWACHE LOWASSA ACHUKUE NCHI KUPITIA CCM ....

ENL TO IKULU 2015
Umebadilisha hadi ID? Kwanini hukutumia ile ile ya siku zote...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu, mleta mada wala hafanani kabisa na mshumaa. Huyu atakuwa na maslahi binafsi ambayo anayapigania, ndo maana unasikia anajiandaa kuuza vyake. Ndo nikamuulizaje, kwavile ameamua kufunguka basi aweke wazi atafaidika na lipi endapo tu Lowasa atakuwa Rais. Atapiga hela kwenye gepu lipi analopigia mingo?

Hakika amekusikia. Tusubiri majibu.
 
Back
Top Bottom