Tiketi ya Membe kwa uvccm
Una habari mbowe na slaa ni vibaraka wa lowassa?
Ha..!ha..!ha..! Huyo Wassira wako labda atupe unga wa ndele ila hivihivi tu achukui..!!Vijana mnatumika sana, lakini ni vyema mkaelewa kuna watu wana nguvu na hawana kiherehere kama chenu,
Mwisho wa siku mtashangaa Nchi anachukua Stephen Masato Wassira.
"Namuunga mkono Lowassa"- By Ndesamburo
mara zote nakuambia na leo narudia tena kukuambia ( maana lusungo ni karibu sana na nyumbani kwetu ) , kwamba kuna kitu hukijui ! Waliohakikisha kwamba LOWASA ANANG'OLEWA NI WABUNGE MAKINI WA CDM NA DR SLAA AKIWEMO , adhabu hii aliipata baada ya kuficha baadhi ya mambo , labda NIKUNG'ATE SIKIO KIDOGO TULILENGA KUNG'OA WAWILI ! CDM HAICHEZI NA MAFISADI .
Ha..!ha..!ha..! Huyo Wassira wako labda atupe unga wa ndele ila hivihivi tu achukui..!!
Nchi hii inahitaji watu wenye maadili mema, hekima, busara, na wenye uchungu na mali za umma. Watanzania hatuwezi kumpa nchi hii Lowassa fisadi na mwizi wa mali za umma. Watanzania tunajitambua muda ukifika tutamchagua mtu anayetufaa na tanayemtaka. Hatuna haja na hayo makundi yenu yasiyo na msingi![/QUOTE
Acha kumchafua Mh Lowasa bure alimwibia bibi yako au na kwa taarifa yk wenzio tunajua kilichoendelea ili kumchafua mh.EL ...mwacheni sasa nae afanye kile alichokuwa akikiwaza kwa ajili ya watanzania wote na wana E.Africa..!!
Lowasa akunaga!!ansubiri kuapiswa tu.
Babu anambembeleza lowassa ahamie CDM
Halafu we mnyakyusa? Kama jibu ndiyo basi kazi unayo maana kabila hilo na chadema wapi na wapi?
hayo mambo yenu huko UVCCM UNATULETA HAPA ! NENDENI HUKOHUKO LUMUMBA BHANA , MSITUPOTEZEE MUDA HAPA , MTU ALIYESHINDWA U PM BAADA YA MWAKA UNUSU TU UTAMPAJE KAZI KUBWA NAMNA HIYO WEWE ? MMEKWISHA AMBIWA RAIS AJAYE ATATOKANA NA UKAWA LAKINI BADO MNAHANGAIKA TU ! KWANI LOWASA YUKO UKAWA ?
hayo mambo yenu huko UVCCM UNATULETA HAPA ! NENDENI HUKOHUKO LUMUMBA BHANA , MSITUPOTEZEE MUDA HAPA , MTU ALIYESHINDWA U PM BAADA YA MWAKA UNUSU TU UTAMPAJE KAZI KUBWA NAMNA HIYO WEWE ? MMEKWISHA AMBIWA RAIS AJAYE ATATOKANA NA UKAWA LAKINI BADO MNAHANGAIKA TU ! KWANI LOWASA YUKO UKAWA ?
Mh Edward Ngoyai Lowassa ndiye candidate anayefaa kwa sasa kuipeperusha bendera ya CCM ktk kinyang'anyiro cha kugombea urais wa JMT.
Hao wanaojisumbua kwa kuhongwa vitiketi vya ndege kwenda Mbeya wenyewe wanajua kuwa moto wa Lowassa ni mkubwa.
Namuonya Mh Membe anayesaidiwa na nguvu ya Riziwani JK asahau kabisa kuhusu urais wa nchi hii, kama anataka urais aende kugombea urais wa wasafi classic....
Wapambe wa MEMBE wanaoongoza kumuibia Membe Pesa zake ni Mohammed Nyundo MNEC, Asenga Abubakar, Paul Makonda na Ally S. Happy...
Hawa wote wanajaribu kubuni miradi ya uongo ili wamuibie Mzee Membe pesa zake.....
MEMBE SHTUKA UNAIBIWA...
MWACHE LOWASSA ACHUKUE NCHI KUPITIA CCM ....
ENL TO IKULU 2015