Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,510
sema wafanyeje sasa!nSidhani kama suluhisho ni yeye kuondoka,nafikiri serekali inatakiwa kufanya jambo zaidi ya kufukuza watu na kuwafunga..
ikufukuza tuuu hakuna jingine!
sema wafanyeje sasa!nSidhani kama suluhisho ni yeye kuondoka,nafikiri serekali inatakiwa kufanya jambo zaidi ya kufukuza watu na kuwafunga..
Si vizuri kuwahukumu hawa tu kwani uzembe wa viongozi wetu wote ndio utamaduni wetu. List ya ajali za barabarani zilizotokea Tanzania tangu MV Bukoba ni ndefu sana lakini utaona kuwa zote zinajirudia kila kukicha. Tiba ya ugonjwa wetu siyo kunywa apsirini na kuendelea na shughuli za kila siku, bali tunahitaji operation na kulazwa wodini kwa muda wa siku kadhaa kabla hatujaanza shughuli zetu tena.
Uondoke kwa heshima. Kama utabaki nitakuwa sioni tofauti kati ya viongozi wangu wa ccm na wapinzani kama cdm na cuf wote madaraka 1

Mara kwa mara vyama vya upinzani ikiwemo CUF wamekuwa wakiwataka mawaziri kujiuzul yanapotokea majanga ya kizembe kama haya. Sasa kwa kuwa CUF ndio wameanza kuingia katika Serikali jumuia nzima ya wapinzani tunataka kuona vitendo katika madau haya ya muda mrefu labda itawafanya hata CCM kujifunza kitu kwa waziri huyu kujiuzulu.

Badilim jina sana naoana kiama ile Malaria Sugu imepona na unatumia akili badala ya Masaburi. Big Up!!

Anatakiwa aweamesha achia ngazi tangu juzi anasubiri nini
kumbe sometimes zipo kichwani mwako eeeh!

Nkidhani huu ndiyo wakati wa CUF kuonyesha tofauti kati yao na CCM. Huyo bwana anaonyesha ametafuta uongozi siyo kuwatumikia wananchi. Huyo ni mchumia tumbo!

Unantafuta, hunipati!
Bnadam kutafutanaaaaa
Kwa kuweka rekodi sawa, Mwinyi hakuwajibishwa, aliwajibika. Na barua ya kujiuzulu ilisifika kwa kiswahili fasaha alichotumia. Ni aghalabu sana viongozi wa Afrika kuwajibika kwa kujiuzulu, Mwinyi aliweka mfano Tanzania.