Emashilla
Senior Member
- May 24, 2012
- 138
- 26
Mbunge wenu amewafanyia nini tangu alipoingia bungeni Aprili 2012? Naomba mnipe habari!
Kulingana na katiba, Bunge ndicho chombo kikuu cha Jamhuri ya Muungano ambacho kitakuwa na madaraka, kwa niaba ya wananchi, kuisimamia na kuishauri Serikali ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote katika utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Katiba hii.Tupunguze ushabiki katika kuorodhesha mambo aliyofanya mbunge huyu tangu wana-arumeru mashariki walipompa ridhaa.
Naona kama CCM wameanza harakati za kulikomboa jimbo
View attachment 65589
Nimesikia kuwa huko Meru Masharik,Tanzania hamuutaki Mwenge wa Uhuru.Hamna tatizo!
View attachment 65602
Tuache hayo, mnijibu swali hili: View attachment 65595 Mbunge wenu amewafanyia nini tangu alipoingia bungeni Aprili 2012?
Naomba mnipe habari!