Nionavyo Mimi: Hizi ndio Tabia Kuu za Watanzania [Sterio Type]

Mtu mkubwa mzima anajifanya Lil wayne kwa kuvaa kata -----.....anaongea kiingereza lafudhi kuuuuubwa wakati kiswahili kinapanda. Mimi hii wala sielewi mtu namna hii anakuwa na akili gani.
 
Mtu mkubwa mzima anajifanya Lil wayne kwa kuvaa kata -----.....anaongea kiingereza lafudhi kuuuuubwa wakati kiswahili kinapanda. Mimi hii wala sielewi mtu namna hii anakuwa na akili gani.

mh...lafudhi kubwa manake nini?

Tabia nyingine ya waTz (haikeri lakini inashangaza), ni watu kujudge lafudhi za watu hasa za english. Sasa unataka wale wa 'ze windi izi blowingi'??
 
haha why? What about me are u curious about? (Kiranga u can correct that sentence lol).
It shows the type of people i'm surrounded by/live with, NOT me! :D

Your name first
is it boobs? or what?
you sound like those high maintenance girls ...lol
wabebs wa ukweli lol cc Nyani Ngabu Smile ...
 
Last edited by a moderator:
Jamani naomba tuorodheshe tabia zinazokera kwa watz:1) Kumpigia mtu simu haipoelewi, na baadaye wala hasumbuki kupiga au kutuma sms2) Kupigiwa simu za kila wakati na kukopwa3) Kuombwa Vocha4)Kukutana na mtu anayejifanya anakufahamu sana na baadaye kukupiga mzinga5) Kulalamikia ugumu wa hali ya maisha kila siku na kutochukua hatua yoyote6) Kushabikia siasa kama mazoea ya 19477)Kuzaa watoto wengi ukitegemea kwamba ndugu na jamaa watakusaidia kulea
Tabia no 2 na 3 wakati mwingine husababisha ya kwanza hivyo ukiona mtu hasumbuki kukutafuta kwa kupiga wala sms basi jifanyie tathmini kuona kama una sifa. kwa kuongezea na. 8. akikopa anatoa story ndefu na shida zake zote ili umwonee huruma badala ya kuwa straight kwa kuomba mkopo na kuahidi lini atarudisha
 
Your name first
is it boobs? or what?
you sound like those high maintenance girls ...lol
wabebs wa ukweli lol cc Nyani Ngabu Smile ...

haha i knew kuna watu wangepronounce it as boobs. Pronounce it babs. Its a short form, for bubbles. :D.
Well i still live with my parents and bros and i'm kinda the black sheep of the family. Mum says nina usafi wa paka kukalia mkia. Whatever that means. So maybe you're right. Lol

so smile is a 'high mentainance chick'?? :D
 
Last edited by a moderator:
Mtu unayemjuwa anampa namba yako ya simu mtu usiye na mpango naye, then anakupigia simu anakuambia nimepata namba yako ya simu kwa fulani. Vipi unaendeleaje wewe, mbona siku nyingi mshikaji?

Huku ni kukosa ustaarabu kabisa na kuingilia privacy za watu!
Huwezi kumpa namba yangu mtu mwingine bila kuniuliza.
 
Mtu mkubwa mzima anajifanya Lil wayne kwa kuvaa kata -----.....anaongea kiingereza lafudhi kuuuuubwa wakati kiswahili kinapanda. Mimi hii wala sielewi mtu namna hii anakuwa na akili gani.

Our wrong assumptions that everythng from abroad is super.... hata kama ni madudu>
 
tabia ya wasichana wengi kuzungumza huku wanatafuna, yn nakereka sana
 
Back
Top Bottom