Nionavyo Mimi: Hizi ndio Tabia Kuu za Watanzania [Sterio Type]

Wanawake wasiojua/wasiotaka/wasiopenda kusafisha vizuri sehemu zao za siri na wakati wa kujamiiana inakuwa kero tupu jinsi kunavyotoa harufu mbaya! Unaweza kukuta mdada mzuri na kavaa vizuri, lakini mmmhhh...:angry:
Eti wanadai kwamba wakijitia vidole kutapanuka, wanasahau hata mtoto anapita hapo hapo!:confused3:
 
-Kukubambikia kesi, uonekane wewe ni mtu mbaya ingawa mwenye makosa ni yeye
-Ukijaribu kumsaidia ikienda vizuri hasemi asante ila atajitapa kuwa yeye mwenyewe ndio... na ikienda hovyo atakulaumu umeuaribia maisha yake
- Kufikiri wewe umepata kila kitu kiraisi raisi, ingawa ukweli uliteseka na kutabika kupata mali
-Kukuforce umpe atachotaka hata kwa vitisho ama kukubambikia kesi na makosa
-Utapeli, anaweza kukuchezea mchezo siku ukigundua nae alikuwepo kukuangamiza utajuta kuzaliwa
-Uaribifu, rafiki, jamaa wivu wao waweza wakakuaribia maisha yako ili wote muwe masikini
-Kujisifia wanaweza sana, wanaakili sana wanauwezo sana, tajiri sana, wanaelim sana
-Kupenda mamlaka na kumiliki binadam
-Vyake ni bora kuliko vyako
-umnunulie vocha ili akupigie, kila siku hana pesa ktk sim, ila mama yake anampigia kila siku
 
Hiyo ya mwisho mimi inanikera sana! Yaani hata aibu hawana. Mimi huwa nawapasha kabisa
 
Nyingine hii-ikitokea umekwazana na rafiki /ndugu...na ukaamua umuombe msamaha ili muwe sawa km awali,basi atajitapa kwa watu amekuja mwenyewe kuniomba samahani,masikini kumbe huna kosa ila uliamua yaishe...kiukweli huo si uungwana
 
to breastfeed ni one of the most natural thing ever ! nobody should feel ashamed to pop out their tities wakati baby is crying for it, you cant program the lil one when to cry and when not ot when mother nature calls, na mtu anayejisikia vibaya on your behalf ndie mwenye matatizo if you are doing the most natural needy thing to stop that hunger...na unachohitaji ni kukaa vizuri unanyonyesha bila shida, simple as that, no UNYIKA involved, mimi ni Mchaga and i will do it anywhere when nature calls... been doing it in all the unlikely places, i just have to be comfortable first to ensure baby enjoys to the fullest
 
Uongo, watanzania ni waongo hata kwa vitu vidogovidigo tu
Kutojali muda lol!
Kuomba omba, mtu anakupigia simu aise naomba unirushie sh 2,000/= utadhani kaambiwa wewe unayo
 
Unakaa na mtu kwenye gari akimuona mtu ambaye anamfahamu anaanza kumuita jina lake kwa nguvu na usikute no yake anayo au wanakaa pamoja.
 
ndugu wa mme kuja nyumbani,wakiona mfano mna pasi tatu,basi anachukua moja bila hata taarifa,yani kufanya vitu vya ndugu yao kama vyao,pia kuzaa bila kujiandaa ukifiwa namme unapeleka watoto kwa shemeji yako mwenye uwezo ilihali na yeye ana familia yake
 
Kutema mate ovyo
kutupa uchafu ovyo hasa toka ndani ya magari.
Kulazimisha mapenzi
kupigiwa simu simu na kudanganya sehemu ulipo huku unaongea kwa sauti kubwa hasa mbele ya watoto.
 
1. mtu anakukuta unakula bila aibu anachukua nyama tena kama ni kuku basi paja anakuachia kipapatio na kusema "nimeshiba hii tu inanitosha'

2. wanaume wengi kujishikashika nyeti zao'
 
1.KUTOPIGA KURA(Eti haimsaidii chochote). 2.KUZUNGUMZIA KILA KITU(Hata wasichokijua vizuri 3.UVIVU .WAWEZA ONGEZEA.
 
Hahaha,nice analysis,ukweli mtupu,..
Naongezea:most pipo wait for the govt to do every shit for them,ikibidi hata kushonea watoto wao uniform..
-most pipo complain a lot,ktu kidogo tu serikali,
-vijana wengi wa sasa hawaamini km kuna mapenzi ya kweli,or rather ni viruka njia sana
-wanawake wengi wanapenda wanaume wenye HELA
nk
 
Back
Top Bottom