Nionavyo Mimi: Hizi ndio Tabia Kuu za Watanzania [Sterio Type]

aaah. Ustaarabu ni kupiga simu twice, ile mara ya pili ni kama alikuwa mbali na simu. Other than that ni usumbufu. Wakati naosha vyombo siachagi kazi yangu kupokea simu nayojua si muhimu. Lakini mtu kakazaniiia vitu vyenyewe anavyotaka kukwambia umbea!

Anakudai.....haat wadeni hawapokei simu kirahisi
 
kujidai hawafagilii kugegedana wakati ndilo wanalowaza most of the tym
wanawake kukataa kutoa kabang kwa waume zao
 
Mijitu inayocheua kwa sauti.

Unakuta jitu limekula kuku-makange halafu linashushia ama na bia au koka kola, migesi inajaa tumbo halafu lenyewe linacheua kwa sauti kama mbuzi....burrrrrrp

Wakati linacheua linakuwa linajichokonoa kwenye meno kuondoa vinyama vilivyonasa. Na mbaya zaidi huo mcheuo utoe harufu.

Ukiwa na kinyaa kama cha Nyani Ngabu unaweza ukapatwa na kichefuchefu kabisa.

Cc: The Boss
Bcc: King'asti
 
You have made my day!
 
eeeewwwwwww i just got blind visioning it
 
-kunywa maji na kuacha chupa/jug tupu kwenye fridge
-kuweka viporo hadi miezi sita
-NOSE POKING . OMG NOSE POKING IS THE BIGGEST PROBLEM IN THIS COUNTRY.
ya kucheua haifiki hapo
 
-NOSE POKING . OMG NOSE POKING IS THE BIGGEST PROBLEM IN THIS COUNTRY.

Nose poking as in minding other people's business or you meant to say nose-picking, the act of inserting your finger in the nostril to remove pieces of dried mucus?
 
ah my bad, i meant nose picking..
Unaitetea? Haha, ulivyoidefine, were u trying to be funny or its actualy defined like that kwa dictionery?
 
ah my bad, i meant nose picking..
Unaitetea?

Far from that...

Haha, ulivyoidefine, were u trying to be funny or its actualy defined like that kwa dictionery?

That was more of a description than a definition and I wasn't trying to be funny or anything. Did I gross you out or something?
 
Far from that...

That was more of a description than a definition and I wasn't trying to be funny or anything. Did I gross you out or something?

lol....umm not really, ok yes, but it was more funny than gross :p
 
Back
Top Bottom