KILITIME JF-Expert Member Nov 17, 2009 265 18 Mar 17, 2011 #1 Natatizwa saana na tofauti ya maneno haya BURUDANI NA MICHEZO na jee michezo si burudani??
N ngoko JF-Expert Member Oct 12, 2010 573 14 Mar 17, 2011 #2 KILITIME said: Natatizwa saana na tofauti ya maneno haya BURUDANI NA MICHEZO na jee michezo si burudani?? Click to expand... si mtaalam lakini ukiangalia Burudani ni derivative ya mchezo
KILITIME said: Natatizwa saana na tofauti ya maneno haya BURUDANI NA MICHEZO na jee michezo si burudani?? Click to expand... si mtaalam lakini ukiangalia Burudani ni derivative ya mchezo
KILITIME JF-Expert Member Nov 17, 2009 265 18 Mar 17, 2011 Thread starter #3 si mtaalam lakini ukiangalia Burudani ni derivative ya mchezo[/QUOTE] Ngoko sijakuelewa kabisa unamaanisha hakuna tofauti?? :lol:
si mtaalam lakini ukiangalia Burudani ni derivative ya mchezo[/QUOTE] Ngoko sijakuelewa kabisa unamaanisha hakuna tofauti?? :lol: