Anayejua Msigwa Alichokuwa Akifanya Ikulu Atuambie!

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Huyu jamaa alikuwa amepwaya kuvaa viatu vya msemaji wa Serikali.
Aligeuka kuwa Chawa badala ya Msemaji wa Serikali.
Sikuwa nikiona tofauti kati yake na ma- Chawa wengineo mfano kina Mwijaku nk.

Huko Michezo panamfaa zaidi maana hayuko serious na Michezo na Burudani patamtosha kabisa.
 
Na huo uchawa ndiyo umemfikisha hapo alipo sasa. Imagine enzi zile za JK kajamaa kalikuwa ni karipota tu ka TBC kutoka Mkoa wa Ruvuma! Ghafla bin vuu, akaibukia Magogoni! Na leo hii ni Katibu Mkuu!!

Hatari sana.
 
Huyu jamaa alikuwa amepwaya kuvaa viatu vya msemaji wa Serikali.
Aligeuka kuwa Chawa badala ya Msemaji wa Serikali.
Sikuwa nikiona tofauti kati yake na ma- Chawa wengineo mfano kina Mwijaku nk.

Huko Michezo panamfaa zaidi maana hayuko serious na Michezo na Burudani patamtosha kabisa.
Msigwa anabebwa tu, kichwani ni mweupe sana.

Hata uchawa tu hauwezi anapitwa na Babalevo.

Mwacheni apate riziki lakini hana lolote.
Japo Slaa alimpa cheo cha uchawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom