Kupunguza nguvu ya internet siyo suluhu ya maandamano ya amani Tanzania

Mda huu simu yangu imeanza kulegalega kufanyakazi ninapo washa data ,ina maana TCRA mmeamua kutukomesha watu wote tusiwasiliane ,tusifanye biashara,tusipate elimu,tusipate habari,tusipate matibabu,na burudani za michezo ya hapa hapale ???
unatumia mtandao gani? Voda ipo sawa
 
Tigo wanasema ni kwa sababu ya mvua kubwa

IMG_20240123_115950.jpg
 
Mda huu simu yangu imeanza kulegalega kufanyakazi ninapo washa data ,ina maana TCRA mmeamua kutukomesha watu wote tusiwasiliane ,tusifanye biashara,tusipate elimu,tusipate habari,tusipate matibabu,na burudani za michezo ya hapa hapale ???
Mi nipo njiani nakuja Dar
 
Tigo ilikuwa slow mno.. inasoma 5G lakini speed ya kobe.
Voda iko kawaida..
 
Back
Top Bottom