suranne
Senior Member
- Aug 12, 2010
- 120
- 246
Hebu wana JF anayejua japo anijuze!
Tatizo hili la kugawa mikoa na wilaya ni kwa manufaa ya nani au ni ongezeko la watu ktk hayo maeneo kama ndivyo mbona DAR hizo mikoa hazina wakuu wa kila KANDA (hiyo mikoa mitatu)?Labda kuna watu walikosa nafasi za uongozi so wanatafutiwa?
Kwa fikira zangu naona tatizo ni hawa wateule(madc) na wengine kutokuwajibika vizuri hivyo kusababisha watu kukosa huduma zinazohitajika kwa jamii hivyo kuonesha kuwa kunahitajika kusogeza zaidi huduma kwa kuunda mikoa na wilaya?
Naomba kuwasilisha!
:washing: