Nini Maana ya "OMBWE" na "WELEDI"

Muda si mrefu uliopita nimekuta "chupaombwe" m.y kwa Kiingereza ni "thermos flask" yaani chombo cha kuhifadhia viowevu ili vibaki au baridi wala moto hadi vitumiwa baadaye.
 
Nawaunga mkono na wale wengine wanaokosoa kwa upole majibu yanayochanganya tuseme Kiingereza na Kiswahii. Isije ni lazima hii ifanyike tuiache kabisa tabia hii.
 
Back
Top Bottom