Ushauri: Nimejaribu kujiua imeshindikana. Naomba ushauri wa kuondokana na kukata tamaa

Jul 24, 2018
10
18
Habari ndugu zangu,

Mimi nina tatizo, ni kijana niliyepitia magumu mengi na bado napitia.

Nina umri wa Miaka 34, imefikia mahali nimepoteza hata familia yangu yenye watoto wawili na nimefanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini imeshindikana.

Sasa imefikia sehemu nikiona mtu kafa nafurahi mno naona ni bora yeye kaondoka kaenda kupumzika

Je, nifanyeje maana naona ukuta mbele sielewi msaada tafadhali.
 
Attachments

  • -846001718-IMG-20231031-WA0005.jpg
    -846001718-IMG-20231031-WA0005.jpg
    66.3 KB · Views: 5
Habari ndugu zangu,

Mimi nina tatizo, ni kijana niliyepitia magumu mengi na bado napitia.

Nina umri wa Miaka 34, imefikia mahali nimepoteza hata familia yangu yenye watoto wawili na nimefanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini imeshindikana.

Sasa imefikia sehemu nikiona mtu kafa nafurahi mno naona ni bora yeye kaondoka kaenda kupumzika

Je, nifanyeje maana naona ukuta mbele sielewi msaada tafadhali.

Wewe inabidi upewe tour ya wodi za wagonjwa mahututi wanaopambania uhai wao, pengine ukabadili mtazamo wako...
 
Habari ndugu zangu,

Mimi nina tatizo, ni kijana niliyepitia magumu mengi na bado napitia.

Nina umri wa Miaka 34, imefikia mahali nimepoteza hata familia yangu yenye watoto wawili na nimefanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini imeshindikana.

Sasa imefikia sehemu nikiona mtu kafa nafurahi mno naona ni bora yeye kaondoka kaenda kupumzika

Je, nifanyeje maana naona ukuta mbele sielewi msaada tafadhali.
Nenda hospital utatibika
 
Kesho saa nne na dk 15 mpaka saa 6 usiku fungulia radio yako sikiliza TBC TAIFA. Utakuja kunishikuru na utajiona ni mpya
 
Habari ndugu zangu,

Mimi nina tatizo, ni kijana niliyepitia magumu mengi na bado napitia.

Nina umri wa Miaka 34, imefikia mahali nimepoteza hata familia yangu yenye watoto wawili na nimefanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini imeshindikana.

Sasa imefikia sehemu nikiona mtu kafa nafurahi mno naona ni bora yeye kaondoka kaenda kupumzika

Je, nifanyeje maana naona ukuta mbele sielewi msaada

Habari ndugu zangu,

Mimi nina tatizo, ni kijana niliyepitia magumu mengi na bado napitia.

Nina umri wa Miaka 34, imefikia mahali nimepoteza hata familia yangu yenye watoto wawili na nimefanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini imeshindikana.

Sasa imefikia sehemu nikiona mtu kafa nafurahi mno naona ni bora yeye kaondoka kaenda kupumzika

Je, nifanyeje maana naona ukuta mbele sielewi msaada tafadhali.
Siyo kweli....
Wewe bado unapenda kuishi....
 
Habari ndugu zangu,

Mimi nina tatizo, ni kijana niliyepitia magumu mengi na bado napitia.

Nina umri wa Miaka 34, imefikia mahali nimepoteza hata familia yangu yenye watoto wawili na nimefanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini imeshindikana.

Sasa imefikia sehemu nikiona mtu kafa nafurahi mno naona ni bora yeye kaondoka kaenda kupumzika

Je, nifanyeje maana naona ukuta mbele sielewi msaada tafadhali.
Mungu akusaidie. Maisha ni kitu cha thamani sana Mungu amekupatia, hata kama unapita katika jaribu zito namna gani Mungu ameweka mbele yako mlango wa kutokea. Ukiwa mikononi mwa Mungu hakika atakuvusha, ila kama haupo mikononi mwa Mungu nakuhakikishia shetani atajipigia apendavyo kwasababu maisha yako umemwachia yeye shetani.

Yesu alisema, yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe, kumbe kuna wale wanaoenda kwake ambao hawatatupwa na kuna wale wasioenda? jiulize, wale wasioenda wapo mikononi mwa nani? mtetezi wao ni nani? je? Mungu anatetea kila mtu tu au wengine anawatetea kwa neema tu (kwasababu hakika hawapo mikononi mwake, wamemkataa wakaona bora wabaki na kutii njia za shetani) na wengine ukiwagusa umegusa mboni ya Jicho lake kwasababu wamekabidhi maisha yao kwa Mungu, wameokoka manake. uchaguzi ni wako.

nje ya Mungu, shetani ana nguvu na hutamweza, hata hiyo roho ya mauti inakusumbua ina nguvu sana kwako, hautajua umejiuaje hadi utakapojikuta umekufa na upo motoni, na kwa taarifa yako kujiua ni dhambi, unauwa mwili ambao hata sio wa kwako, huo mwili ni hekalu la Roho Mtakatifu na Mungu amekukabidhi tu uutunze, uulishe, usiunajisi, ukiuua utaenda kutoa hesabu huko utakakoenda, lazima utahukumiwa, usikubali kufa ukiwa katika dhambi, kwasababu utaend amoja kwa moja motoni.

kifo sio siku zote kibaya, kinachojalisha ni wapi utaenda baada ya kifo, hapa duniani hata ukikaa miaka 100 je, ukifa utaenda wapi miaka zaidi ya 100? milele? kuna sehemu mbili tu, motoni na uzimani, wewe utaenda wapi? ni jambo gani ambalo Mungu amelishindwa hadi utake kujiua? yeye ameweka mlango mbele yako uchague uende uzimani au motoni, sasa umechagua nini? na siku ukija kutoa hesabu utasema ulifanya nini hiyo?
 
Habari ndugu zangu,

Mimi nina tatizo, ni kijana niliyepitia magumu mengi na bado napitia.

Nina umri wa Miaka 34, imefikia mahali nimepoteza hata familia yangu yenye watoto wawili na nimefanya majaribio kadhaa ya kujiua lakini imeshindikana.

Sasa imefikia sehemu nikiona mtu kafa nafurahi mno naona ni bora yeye kaondoka kaenda kupumzika

Je, nifanyeje maana naona ukuta mbele sielewi msaada tafadhali.
Kama umefeli kujiua basi hutakuja fanikiwa kwa lolote

Kwani hakuna aliewahi kufikia uamzi huo na akafeli
 
Back
Top Bottom