nini kinakukera jf?

Yah ni hao tu....hawajui humu majukwaani kuna Great Thinkers hawana muda wa kuanza kutafakari maneno ambayo unaweza kufikia mwisho hujajua maana yake teh
Wewe uko kama mimi, nikishaona mtu kakomenti ki form two B wala siumizi macho yangu kusoma mara mbili mbili, wanakera bana!..
 
Heshima yako bishanga,
Naomba nisamehe bure,
Niliblock but sikukukusudia ww atii,ila sasa sijui namna ya kublock mtu mmoja ndio maana nikablock kwa watu wote!!
Lakin si uniandikie hayo maneno kwenye sms jaman lol!

Mie bado sijakutana na kero yoyote na sitaku kukaribiana na kero yoyote maana nafarijika sana kuwa humu ndani hahah!
bora umejilipua,mPM basi BAK ana hamu ya kutaka kujua nani ali block incoming PMs
 
Wahi asee manake nakaribia kukata roho vile nammiss sweetheart,

afu mie nishachoshwa na masred ya kucheat, kila kukicha cheat, cheat cheat!.... Siendi huko!
zamana vipi,Kova bado amekukomalia?
 
Back
Top Bottom