nini kinakukera jf?

yaani mie nakerwa na kero!!!
Nadhani byshernger, leo tumelala pamoja.

Nna kero sana.
Namba moja wanaitwa 'virgins in a maternity ward'
 
yaani mie nakerwa na kero!!!
Nadhani byshernger, leo tumelala pamoja.

Nna kero sana.
Namba moja wanaitwa 'virgins in a maternity ward'

Mamaaaaa leo umelala na bishanga!!! Bishanga ya kweli hayo? Virgins kwenye maternity ward hao wanapasuka misamba
 
@byshernger
nitakublock mpaka basi
wee unaprint pm zangu afu unabandika ofisini kweli, ebo!
 
Back
Top Bottom