nini kinakukera jf?

mi nakerwa na ujuaji, kuna watu wanajifanya wajuaji kutwa kushushua wenzao. pili ushobokeaji, watu humu wananikera kushobokea baadhi ya watu hata kama kaandika ujinga basi unamsifia tu sijui ili iweje
babaeleze bana......
 
Kwani bishanga ameshastaafu kazi corrona funeral home? Si anaendesha ile benzi ndefu inapambwaga maua ya zambarau! Unaniingiza mjini eeh!
King umepiga ikulu,halafu yule mzee wa kichaga wa corona ni rafiki yangu,ngoja ni print post yako nimpelekee pale muhimbili kama hajakufuata na mapanga,mkibosho yule!
 
Natamani ningekuwa moderator ili niwe nawafutia posts zao.....lol!! BTW, mie sijambo kabisa chipenzi, nimefurahi kukuona! Habari ya wewe??
Hehehe! Ongea na mimi vizuri ili nikupelekee aplikesheni leta kwa cookie!

Habari yangu njema mpendwa, nimefurahi pia kukuona.
 
wenye wivu wajinyonge na big g swahiba. Naomba uniitie katavi. Kuna kitu nataka nimwambie.
Hehehe! Haya mapenzi ya ghafla yameanza lini swahiba?? Ooh maskini shemeji yangu uporoto!

Katavi, Katavi, wee Katavi unaitwa huku chit chat na Husninyo! Anakuja swahiba.
 
Back
Top Bottom