Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,887
- 2,770
- Thread starter
- #61
Aah bwana wewe unadhani sifahamu kuwa ukimwi ni ukosefu wa kinga mwilini? Mimi nimetanua fikra zamani na ninasoma sana tafauti na nyinyi munaoamini vitu bila ya hata kutafuta elimu zaidi.
elimu zaidi hutafutwa kwa njia nyingi. Mojawapo ni kuchokonoa, pale ambapo hauna vyanzo kamili. Nikuulize, mwandishi anapomhoji mtu (mathalani mkapa) mara nyingi hutumia maneno, kuna tetesi, tunasikia, n.k. Hii ina maana gani, bintimkongwe?