Nini kilisababisha Prof Mwakyusa kumpuuza Baba wa Taifa?

Aah bwana wewe unadhani sifahamu kuwa ukimwi ni ukosefu wa kinga mwilini? Mimi nimetanua fikra zamani na ninasoma sana tafauti na nyinyi munaoamini vitu bila ya hata kutafuta elimu zaidi.

elimu zaidi hutafutwa kwa njia nyingi. Mojawapo ni kuchokonoa, pale ambapo hauna vyanzo kamili. Nikuulize, mwandishi anapomhoji mtu (mathalani mkapa) mara nyingi hutumia maneno, kuna tetesi, tunasikia, n.k. Hii ina maana gani, bintimkongwe?
 
Pole sana kwa jina kubwa kama Mag3 kuungana na small time thinkers.
Allegations ZOTE humu lazima ziwe na facts,irreputable facts.
Hot air. Foul as it is, never stands.
Na wewe unashauriwa umuone Vincent ili uje na hizo facts ili tukuamini.
Hakuna ***** utakabadilisha ukweli huo unless you are also hiding something.

acha kutafuta suluhu kwa ***** unaomwaga. Tatizo lako unadhani neno 'fact' limeshuka toka mbinguni na ni usomi sana kuwa 'ukweli'. Kwa taarifa yako hata maid wa mwakyusa anaweza kuwa na hizo unazoita facts kuliko hizo source unazotaka tuamini kuwa ndizo pekee zitakazoweza kupambana na unazoita 'allegations'. Unajua maana ya hii alama '?'.

Kwa lugha nyepesi tu ni kuwa usituondoe kwenye mstari wa mada tafadhali. Ila kama unazo 'facts' kuwa mwakyusa alitimiza wajibu wake ipasavyo utuwekee hapa nasi tuachane na allegations, la sivyo button your lips!
 
Mkuu sana Raia Fulani,mwaga ukweli wenyewe Kama unao
, si kulalama tu kwapani, it is as simple as that.
Kama Huna kitu endelea kulalama na sisi Kama binadamu wenye akili mzuri tu tutakuelewa as a feeble minded thinker and nothing more.
Hisia tu hazijakuweka katika position ya kuendelea kupigia upatu mada yako iliyonayokaa kimajungu majungu hivi.
Usituaminishe kufikiri kuwa hapo ndio mwisho wa uwezo wako wa kujenga hoja inayoweza kusimama katika mijadala ya watu wenye akili, greti thinkaz!

Kama nilivuo seama awali, the onus of providing the truth to the details of the allegations rests with the accuser,Raia Fulani.
And so far he has miserably failed to do so.
 
just because unajua vocabulary chache za kizungu si hoja kwamba unaelewa lengo la jambo fulani. Allegations sijazianzisha mimi, sawa? Labda hili ulikuwa hujui. Hizi tuhuma zimeanzia kwenye mvutano kati ya vincent na mkapa, ndipo mwakyusa akachanganywa, ila kwa maelezo ambayo hayakujitosheleza, kuwa hakuhusika kikamilifu kwenye kushughulikia afya ya Nyerere. Sasa kuna ubaya upi kutaka kujua undani wa tuhuma hizi japo sina facts? Watu kama nyie ndio mnaokufa na tai shingoni kwa kuaminishwa na vitabu kuwa kila unachokiongea lazima ukijue. Hili ni jukwaa huru na hatuko mahakamani hapa. Ass far as collective mind is concerned, any one can supply facts relative to the allegations above. And i a not the accuser but i just probe for more insights from others. Halafu, mbona unaumia sana na hizi tuhuma? Na nini huelewi katika hoja yangu. Your mind seems to be programmed to certain labyrinth only and is not a free human mind
 
Mkuu mada yako inasema,
"Nini kulisababisha Prof Mwakyusa kumpuuza Baba wa Taifa"
Kichwa hiki cha mada is suggestive in nature and in Raia Fulani's mind, conclusive.

Wewe Raia Fulani, ndio umeianzisha hii mada, na si Vincent, unless wewe ni Vincent.
Usijaribu kukwepa mashambilizi ya kutotuma your highly valued resource, brain , katika mada uliyoianzisha.
Hata wanaokupa sapoti inaelekea wana umbumbumbu unaolingana na wa kwako katika kuleta ushuhuda katika suala zima na si hisia za mitaani.
Prof Mwakyusa Kama ninavyomfahamu is a Gentleman whose integrity is beyond doubt.
Tatizo la ninyi watoto mliosoma kizazi cha UPE na shule za kata ni kukosa the basic skills za kupresent your argument with supported facts and logic.

Now you sound apologetic and you are backing away from your suggestive topic which is basically innuendo.
Mkuu kabla yakuposti uchwara fanya utafiti na fikiria kwanza , ukitilia maanani kuwa watu wingine unaowatuhumu ni watu wa watu.
Ya Vincenti na Ben waachie wenyewe,waarabu wa Pemba wale!
 
you sound like a trained dog. Kumbuka siandikii gazeti hapa, wala hii si pepa ya darasani, wala si ripoti ya tume fulani. Huu ni mtandao wa kijamii na uko katika mtindo huru. Unatuletea habari za kulala na suti hapa? Umekuwa maiti? Kama huna hoja ya ziada tambaa tu maana ignore list inakutamani. Kwa heri
 
Thanks buddy
You are a looser as you have always been.
You have been beaten hands down.

Fuatili mada na nzima na utaona kuwa mada yako ilikuwa ugoko wa kufikirika tu kwa upande wako.
Probably jamii hii hii imefadika kwa kutambua watu wasio na hoja endelevu.
If anything you have much to learn maana umekula nondo za uhakika ambapo umeshindwa kuitetea hoja yako.
Kingine, its only loosing fools who fail to admit failure with grace.

Matusi hayakusaidii sana kama kielelezo cha upeo wako wa kufikiri!.
Sayonara ,Raia Fulani my feeble thinker!
 
alikufa kwa UKIMWI sio? Mkapa alituambia kuwa Nyerere alikuwa na upungufu wa kinga mwilini. Ndio kisa cha mwakyusa kupotezea sio? Ndio nachojua

Kama akilufa kwa ukimwi mbona mama mjane ni mzima? acheni kutuzuga........mkapa asubiri tu sodoma na gomora ndipo atalia na kusaga meno pumbafu zake .................
 
thanks buddy
you are a looser as you have always been.
You have been beaten hands down.

Fuatili mada na nzima na utaona kuwa mada yako ilikuwa ugoko wa kufikirika tu kwa upande wako.
Probably jamii hii hii imefadika kwa kutambua watu wasio na hoja endelevu.
If anything you have much to learn maana umekula nondo za uhakika ambapo umeshindwa kuitetea hoja yako.
Kingine, its only loosing fools who fail to admit failure with grace.

Matusi hayakusaidii sana kama kielelezo cha upeo wako wa kufikiri!.
Sayonara ,raia fulani my feeble thinker!

rip rip
 
Back
Top Bottom