Nini kifanyike kama JK atazuia kura ya kukosa imani kwa WM (kutowajibika) + waziri wa5 (ubadhirifu)

Mgomo wa Madaktari ulinyamazishwa bila ya hatua kuchukuliwa kwa W, NW na KM, Nini kifanyike sasa?

  • Uzalendo ulinde maslahi ya Taifa, Bunge likupige kura ya kutokuwa na imani kwa Rais

    Votes: 1 50.0%
  • Ikishindikana wananchi waingie mitaani kulazimisha uchaguzi mpya uitishwe

    Votes: 1 50.0%
  • Wananchi wasifanye chochote maana tumezoea hali ngumu ya maisha na si kitu kigeni kwa wizi huu

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    2

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,226
79,517
Mgomo wa Madaktari ulinyamazishwa bila ya hatua kuchukuliwa kwa W, NW na KM, Nini kifanyike sasa?

Uzalendo ulinde maslahi ya Taifa, Bunge likupige kura ya kutokuwa na imani kwa Rais

Wananchi wasifanye chochote maana tumezoea hali ngumu ya maisha na si kitu kigeni kwa wizi huu
 
Back
Top Bottom