TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,947
- 11,342
HAhahahaha train za India balaaa....mkuu kweli umenichoka!
Nimekusoma... heshima mbele aisee
HAhahahaha train za India balaaa....mkuu kweli umenichoka!
as usual, we tend to be smarter than smart!!! i had three ifs, one wa sbout sex, another was about security and the last was bout love
LOL
keep smarting
keep on contributing MTM!...
Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?
Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?
Mwonyeshe yuko peke yake moyoni mwako au kimapenzi hata kama unamdanganya.
Ujue jinsi ya kumridhisha kimapenzi haswaaa
Appreciate vitu vizuri anavyofanya,kama kapendeza kimavazi msifie nk.
Uwe msikivu anapokuambia kitu yani uonyeshe kujali hata kama unamwona anapenda kulalamika.
NB: Sidhani kama kuna kanuni moja kwa wanawake wote,utakayekutana nae kimapenzi na kumjua vizuri ni rahisi kujua umfanyie nini afurahi.
Yaani suluhisho niliolipata kuwa wanawake wapenzi ni jamii ya kudanganywa tu ,yaani inawezekana kabisa hata akikusitukia kuwa unamdanganya atazidi kufurahia tu uongo wako
Kuna jamii hii ya wachaga eti kama mwanamke wa kIchaga hujampiga basi huwa anakuchukia na eti humpendi kabi kabisa.
Na anaweza kukushangaa kwa nini huwa humzuii au humkatazi kitu na hapo anaweza kukupiga buti kwa kuwa umemzarau ,bado natafuta la kuwafurahisha ili wasielewe vinginevyo zaidi ya kuwa anapendwa tu na kuwa mwenye kufurahia.
Nimepata kusikia kuwa wanawake wakisambaa na wadigo wao ni ngumi mtu ,na wakati wa kuelekea kwenye tendo la ndoa basi kunakuwa na ugonvi wa kusitua wapita njia ,viti gilasi hurushwa inakuwa lazima mfukuzane ndani ,mwanamke mmoja alimpiga mumewe kichwa na kumkata mdomo ,ndio ukaona wasambaa wengi huwa wamekatika midomo.
Sababu ya kuelezwa niliulizia mbona wasambaa wengi pale Tanga sokoni wamekatika midomo pande mbili,ndio nikaelezwa.
Eti ndio furaha ya wake zao kupigana na waume zao,bila ya hivyo wandai talaka.
Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?
Kuhani na wenzako wanaharakati wa TGNP mnakubaliana na hili jina DEMU?
Hilo nilililolikozesha hapo juu liminifika.ila ulipofika mwisho wa mwezi hakuona hela yangu ,ikabidi aniulize nikamjibu ile siku nilimisi kazi wamenikata mwezi mzima ,basi aliwatukana kampuni nzima ,nikafikiria yamekwisha akazua jipya niache kazi nitafute nyingine ,nikamsikiliza lakini kazi sijapata ,sasa ananung'unika eti mvivu.Ukimfurahisha kwa hili atachukia kwa lile, au atataka uongeze hili na mengineo mengi. Mwisho atakuambia hata kazini usiende ili aendelee kufarahi na kuhakikisha hakuna demu mwingine atakayefurahishwa nawe kama yeye. Ukifuata poa . Utamfurahisha.
...mdanganye uwongo unaofanania na ukweli!
hilo nilililolikozesha hapo juu liminifika.ila ulipofika mwisho wa mwezi hakuona hela yangu ,ikabidi aniulize nikamjibu ile siku nilimisi kazi wamenikata mwezi mzima ,basi aliwatukana kampuni nzima ,nikafikiria yamekwisha akazua jipya niache kazi nitafute nyingine ,nikamsikiliza lakini kazi sijapata ,sasa ananung'unika eti mvivu.
...Awe na furaha wakati wote ye nani?? Bill Gate mwenyewe hana furaha wakati wote!!!!Mambo ya kufikirika tu hayo....Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?
unapokuwa kifuani, mtukane hawara yako wa zamani!Jamani nwauliza hivi ni jambo gani ambalo tunatakiwa tufanye ili ,iwe demu mke au part time girlfriend awe ni mwenye kufurahi wakati wote ?