myself scenario
JF-Expert Member
- Jul 5, 2015
- 347
- 213
- Thread starter
- #21
uko sawa,tatizo watu wamekalili, pia kuna nyota kubwa kushinda jua we fatilia utaona
nachokiamin mimi huko nako kuna viumbe ila hatuwez kuwaona na wao wanaendana na mazingira ya huko,sitak kuamin kama pluto,jupiter n.k ni mapambo tu
ukifa unahamia sayari ingine,ila hujijua kwani memory za nyuma zinakuwa deleted
Na hawaitaji kuonekana pia maana mna tabia ya umbea!!!Tatizo kubwa la nyie wanasayansi mnakata kilicho duniani ndio kiwe sawa kabisa na kilicho kwenye sayari nyingine, nadhani jibu lako lingekuwa inawezekana kukawa na viumbe wengine ambao watakuwa tofauti na sisi kwa sababu ya utofauti wa kimazingira, sio kila kiumbe lazima viwe kama vya hapa duniani, inawezekana kukawa na watu ambao wako tofauti sana na sisi, labda hawaitaji sana oxygen, hawaitaji maji, hawaitaji chakula, nk wapo kama marobot tu
so viumbe vinaweza vikawepo huko
Khaa, sijakuelewa jamaa, unamaanisha nini?Na hawaitaji kuonekana pia maana mna tabia ya umbea!!!
Ukiwa mars nao usema hivyo hivyo!Sayari moja tu katika mfumo wa jua ndio ina viumbe hai nyingine zote hazina kutokana na environmental conditions zao!
Sidhani Kama Mungu Aliamua Kutuweka Katika Sayari Ya Dunia Halafu Sayari Nyingine Zibaki Kama Mapambo, Nachoami Kwenye Hizo Sayari Nyingine Kuna Viumbe Wanaishi Na Either Wana Mungu Wao Au Ni Huyuhuyu Mungu Wa Dunia Ndiye Wanaemuabudu.. Pia Kuna Uwezekano Na Wao Pia Wanasheria Zao Za Kumtii Mungu Na Kuna Wasomi Pia Wenye Akili Na Maarifa Kutushinda Sie Wanadamu..
Nawaza Tu, Kuna Sayari Kubwa Kushinda Dunia,labda Humo Kuna Viumbe Wengi Zaidi, Ila Hatuwezi Kuwaona Kutokana Na Mpango Wa Mungu #freeman
mkuu unajua maana ya kiumbe nikiwa kama mwalim wa kiswahili nimekuja kukosoa hili tu kiumbe ni chohote kilichoumbwa ina maana tunaposema mungu aliumba dunia na vilivyomo kila kitu ni kiumbeBasi kama haviko sawa na sisi hivyo sio viumbe tena! Mleta mada ameulizia kama kuna viumbe wengine nami nimemjibu kutokana na alivyouliza....
teh!teh!teh!!!ukifa unahamia sayari ingine,ila hujijua kwani memory za nyuma zinakuwa deleted
Ungenielewa kma ungeanza na Yule niliyem quote,, just idea yko ya mwanzo nimeongezea sirKhaa, sijakuelewa jamaa, unamaanisha nini?
Thanks kakaUngenielewa kma ungeanza na Yule niliyem quote,, just idea yko ya mwanzo nimeongezea sir