Nini kazi ya hizo Sayari zilizobaki ukiondoa Dunia?

nachokiamin mimi huko nako kuna viumbe ila hatuwez kuwaona na wao wanaendana na mazingira ya huko,sitak kuamin kama pluto,jupiter n.k ni mapambo tu

Lakin Ukifikiri Kwa Kina Kama Kuna Ukweli Flan Hapa, Sema Tu, Tumekaririshwa Et Sayar Ya Dunia Tu Ndo Ina Viumbe, Kwa Hiyo Sayari Zoooooote Zilizobaki Ni Mapambo? Nakuunga Mkono Mkuu Huko Sayar Zingine Kuna Viumbe Vingine Tena Wanaishi Na Kuabudu.
 
Tatizo kubwa la nyie wanasayansi mnakata kilicho duniani ndio kiwe sawa kabisa na kilicho kwenye sayari nyingine, nadhani jibu lako lingekuwa inawezekana kukawa na viumbe wengine ambao watakuwa tofauti na sisi kwa sababu ya utofauti wa kimazingira, sio kila kiumbe lazima viwe kama vya hapa duniani, inawezekana kukawa na watu ambao wako tofauti sana na sisi, labda hawaitaji sana oxygen, hawaitaji maji, hawaitaji chakula, nk wapo kama marobot tu

so viumbe vinaweza vikawepo huko
Na hawaitaji kuonekana pia maana mna tabia ya umbea!!!
 
Sidhani Kama Mungu Aliamua Kutuweka Katika Sayari Ya Dunia Halafu Sayari Nyingine Zibaki Kama Mapambo, Nachoami Kwenye Hizo Sayari Nyingine Kuna Viumbe Wanaishi Na Either Wana Mungu Wao Au Ni Huyuhuyu Mungu Wa Dunia Ndiye Wanaemuabudu.. Pia Kuna Uwezekano Na Wao Pia Wanasheria Zao Za Kumtii Mungu Na Kuna Wasomi Pia Wenye Akili Na Maarifa Kutushinda Sie Wanadamu..

Nawaza Tu, Kuna Sayari Kubwa Kushinda Dunia,labda Humo Kuna Viumbe Wengi Zaidi, Ila Hatuwezi Kuwaona Kutokana Na Mpango Wa Mungu #freeman

Aliens wanataka kutujambia tu. Wale panya bwana, wana tabia za kijinga wakati mwingine? Mara wanatubaka, wakiboreka...wanakuja kutujambia na kutuchanja bila sababu.
 
Basi kama haviko sawa na sisi hivyo sio viumbe tena! Mleta mada ameulizia kama kuna viumbe wengine nami nimemjibu kutokana na alivyouliza....
mkuu unajua maana ya kiumbe nikiwa kama mwalim wa kiswahili nimekuja kukosoa hili tu kiumbe ni chohote kilichoumbwa ina maana tunaposema mungu aliumba dunia na vilivyomo kila kitu ni kiumbe
ila kuna viummbe hai viumbe hai wapo hawa pia tunawaju mimea wanyama nk
 
Nakumbuka miaka ya 90'alianguka MTU mmoja pande za USA ,MTU yule alikua was ajabu mpaka rais wa marekani Bush alikua wa ajabu ss labda alitoka pande za sayari mojawapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom