Nini chanzo cha Matokeo mabovu kidato cha pili BAGARA Sekondari?

FreedomTZ

JF-Expert Member
Jul 18, 2012
1,104
250
Fungua link ujionee wanafunzi wa shule hiyo walivyofeli. Swali la kujiuliza kuna nini ktk shule hiyo ambayo ipo mjini Babati? Shule ina walimu wa kutosha lakini imefelisha watoto wengi kama inavyoonekana ktk matokeo yaliyotolewa na NECTA jumamosi iliyopita.

Shule zilizopo pembezino ambazo zina walimu wachache sana zimefaulisha kuliko shule hii.

Shule hii ni mfano wa shule nyingi zilizopo mijini zenye walimu wa kutosha lakini zimefanya vibaya ktk mtihani wa kidato cha pili. Je, nini kinasababisha matokeo mabovu? Nafikiri UONGOZI MBOVU ni sababu kuu hasa kwa shule ya sekondari BAGARA.

Karibuni tujadiliane.
 
Back
Top Bottom