Ningekuwa Lema, nikitoka tu mahabusu ningeachana na siasa

issac77

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
2,956
4,782
mimi ningalikuwa ndiyo Godbless lema, nikitoka tu mahabusu naachana na siasa. Sababu kama maisha mazuri ninayo miradi ya kuniingizia pesa nje ya siasa ninayo, kwanini niteseke na siasa? Kwa manufaa ya nani? Watu wenyewe ninaowapigania ni wale wa kunikebehi tu na kuniona sina la maana kwao. Naachana na siasa to be honest.
 
Huwezi kuwa Lema hata sekunde moja,
 
Hakuna kuacha siasa...uzuri trump wa bongo madongo yote tunayorusha yanamuingia sawasawa mpaka akili zinamkaa vizuri....huoni sikuhizi kachakaa akiongea ni mwendo wa kutoa povu na kurusha mate
 
mimi ningalikuwa ndiyo Godbless lema, nikitoka tu mahabusu naachana na siasa. Sababu kama maisha mazuri ninayo miradi ya kuniingizia pesa nje ya siasa ninayo, kwanini niteseke na siasa? Kwa manufaa ya nani? Watu wenyewe ninaowapigania ni wale wa kunikebehi tu na kuniona sina la maana kwao. Naachana na siasa to be honest.
Siasa sio tatizo..tatizo ni ile "ndoto" yake
 
mimi ningalikuwa ndiyo Godbless lema, nikitoka tu mahabusu naachana na siasa. Sababu kama maisha mazuri ninayo miradi ya kuniingizia pesa nje ya siasa ninayo, kwanini niteseke na siasa? Kwa manufaa ya nani? Watu wenyewe ninaowapigania ni wale wa kunikebehi tu na kuniona sina la maana kwao. Naachana na siasa to be honest.
No retreat, no surrender
 
Iv ili la Lema unalichukuliaje kama mtaz wa kawaida vs kitaifa na kimataifa.? Unaweza ukawa mjinga kwa kutokujiuliza?
 
Watu waoga kama nyie hamstahili kwa hali yoyote kushiriki katika mapambano dhidi ya udharimu!!!
 
Wewe nae nimjinga tu furani siasa si unavyofikria kama wewe hujui siasa na changamoto zake we endelea tu kuuza matako maana ndiyo kazi unayo iweza
 
Back
Top Bottom