Ningekuwa Lema, nikitoka tu mahabusu ningeachana na siasa

Kuna watu wamepitia pangumu zaidi ya lema mbona hawjaacha siasa ? Kuna watu kama babu haji duni kesi ya uhani mateso makali wakapata hawajaacha siasa ndo kwa wameng,arazaidi leo unazungumzia lema au umetumwa kumkatisha tamaa lema , kwa taarifa yako amesema hata wanasheria weke amewaambia wasi hangaike hiyo nisehemu ya maisha uko hapo
 
Ndo maana hatafamiria yake hawana wasi wasi watoto wake pamoja na mama yao wana mpa saruti ishara ya pambana kamanda leo wewe unakuja na huruma ya kizembe namna hiyo
 
mimi ningalikuwa ndiyo Godbless lema, nikitoka tu mahabusu naachana na siasa. Sababu kama maisha mazuri ninayo miradi ya kuniingizia pesa nje ya siasa ninayo, kwanini niteseke na siasa? Kwa manufaa ya nani? Watu wenyewe ninaowapigania ni wale wa kunikebehi tu na kuniona sina la maana kwao. Naachana na siasa to be honest.
Mandela alikaa gerezani miaka 27 na baada ya kutoka akaja kuwa Rais na akawasamehe wote waliomfanyia fitna.
 
Back
Top Bottom