Ninawachukia Hawa.....

Hahahaha hapa umenichekesha kweli Rev mwe! so utakua unachukia huku unatoa cause na wewe waogopa kunyimwa

Hapo zile sababu zenu zitashamiri! Naumwa tumbo, kichwa cha nigonga sana, smiko kwenye mood.....utakoma. Utageuziwa Mgongo Hadi ukome......ili mradi vituko!!!!!
 
Eti unaniachaje sasa Gaga lol ulaaniwe na mwenyez Mungu, sipendi kupiga mizinga na sipendi kupigwa mizinga ila zinazojileta nazivuta tu kiaina

The Following User Says Thank You to Gaga For This Useful Post:

Maty (Today)​

Well said mamito
 
Hapo zile sababu zenu zitashamiri! Naumwa tumbo, kichwa cha nigonga sana, smiko kwenye mood.....utakoma. Utageuziwa Mgongo Hadi ukome......ili mradi vituko!!!!!

Haahhaha atafanya vituko hivyo akijua yuko peke yake, ila akijua kuna mwingine thubutu, inabidi wababa msiendekeze hii makitu, mtu aombe kwa shida maalum mpaka na wewe ukitoa unasikia amani.

Halafu mimi naona mwanaume/mwanamke anaekuomba hovyo mpaka unakereka hakupendi huyo lazima yuko nawe kwa sababu maalum so na wewe inabidi ushtuke. Na wanawake hiyo tunayo sana uongo dhambi hata mimi nikishakwambia bwana sikupendi uking'ang'ania nakufukuza kwa mizinga tu ukitoa tunaelewana usipotoa nakufanyia visa mpaka ukome kwani sikupendi.
 
The Following User Says Thank You to Gaga For This Useful Post:

Maty (Today)​

Well said mamito
Meona eeee, maana utakuta umekaa na mtu mahala bill ikija anajifanya kama haimuhusu vile, au ooo kadi nimesahau... yaani kuna warembo wanachunwa bala, kuna dada mmoja hajaolewa na anafanya kazi kwenye bank ni boss fulani basi kila akipata bf anakuwa hajampenda yye ni pesa, hata akiamua kwenda dinner yanamkuta, mizinga kila mara, mara mkaka anataka aongezewe pesa imepungua abadili gari. hii inamsumbua sana kiasi ameona hataweza kupata mchumba wa ukweli coz kila anayekuja anakuja kwa style ya mizinga,kaamua kuacha kabisa sasa
 
Mapenzi ni ful usanii kuhonga au kutokuhonga hakugurantee strong love,watu wanafeki tu siku hizi !if uget a good woman or man better thank God!
 
Umechukua mauzoefu ya mchungaji nini?Umewasahau wasiofanya kazi.
wasiofanya kazi nawagrupu pamoja na mahausigeli na mahausibois...hao wanaomba kuanzia kitana, tissue, mahindi hadi kufunguliwa akaunti... hapo sijagusia nauli, poda, mswaki, pesa ya kuritachi na walio advance wanaomba hadi viwanja
 
Mchungaji hii post ni very uziful

Iko hivi kwamba suala zima linachangiwa pia na ukware wetu si wanaume

Uzoefu unaonyesha kuwa kama 'umetembea' na mtoto wa kike yeyote hasa wa mjini, na kama ulishaonyesha uzoefu wa kuclear bills, hukawii kupigwa mzinga kama hivi"

"Switii, niazime 100,000 nimalizie ada ya mtoto, mwisho wa mwezi nakurudishia". SAHAU.
"Baby, kuna rafiki yangu nilimuahidi mchango wa kitchen party, niazime kama 80,000 nitakurudishia". SAHAU.

Cha kunote ni kwamba wako very strategic ni wakati gani wanaomba...inakuwaga pale ambapo mapenzi yapo kwen peak....na mind you, hizi zinakuwa nje ya zile variable costs kama bills za vinywaji, chakula, usafiri, mawasiliano (vocha za hapa na pale nk)

Mimi naona ni aina mpya ya 'utapeli' ulioingia mjini

tatizo, anakwambia hivyo sasa ole wako ukatae au useme sina, ujue hapo ndo mwisho wa penzi, au uthubutu kukumbushia, hapo imekula kwako,

Sasa mi najiuliza, kwa nini watu wanajidhalilisha hivyo? kwa nini utake kitu kwa gia ya kuazima badala ya kuomba kama usaidiwe tu huku ukijua kabisa huu ni mzinga?

Sio ustaaarabu kabisa...sio wadada, sio wakaka....

sasa mtu kama huyo kaizer kuna ulazima gani wa kuendelea kuwa karibu nae? maana hapo bold inaonyesha mtu unatoa kwa sababu bado unahitaji kumuona ona, na yeye anakua ameshakusoma udhaifu wako ndio maana anafanya vituko vyote hivyo. kushtuka wasubiri nini?
 
Wadau!
Kama alivyosema Rev hapo awali wapiga mizinga ni very tricky and proffesional.
Last year nilifanya Birthday yangu tulikuwa watu kama nane hivi tuka enjoy vizuri tu baada ya hapo dada mmoja nilikuwa sina mazoea nae sana zaidi ya salamu siku ya birthday akaniletea zawadi ya Boxer, vest na Soksi, dah nikaanza kuchat nae, baada ya wiki 3 nikapigwa mzinga wa elfu hamsini na sababu aliyoitoa ilikuwa ni reasonable kabisa niliitoa pesa kwa shingo upande...
Kama wadau walivyosema inatupasa kula kutokana na urefu wa kamba zetu.
mbona hujamalizia stori?
 
Meona eeee, maana utakuta umekaa na mtu mahala bill ikija anajifanya kama haimuhusu vile, au ooo kadi nimesahau... yaani kuna warembo wanachunwa bala, kuna dada mmoja hajaolewa na anafanya kazi kwenye bank ni boss fulani basi kila akipata bf anakuwa hajampenda yye ni pesa, hata akiamua kwenda dinner yanamkuta, mizinga kila mara, mara mkaka anataka aongezewe pesa imepungua abadili gari. hii inamsumbua sana kiasi ameona hataweza kupata mchumba wa ukweli coz kila anayekuja anakuja kwa style ya mizinga,kaamua kuacha kabisa sasa

Masikini mdada wa watu, aangalie na yeye na aina ya wanaume wanaomfuata, pengine anachukua masharobaro na masharobaro wanatabia ya kuambiana. Utasikia pale kuna neeema mwana mzukie na wewe mi keshanishtukia. Na wenzetu wanaume hawana wivu wivu wa hovyo kama sisi so kupasiana hawaoni tabu.

Abadilike kwani wanaume wastaarabu wapo wengi tu, asichague chague sana
 
Kabisa Tupo wengi wazuri kuliko hao masharouharo!
 
Masikini mdada wa watu, aangalie na yeye na aina ya wanaume wanaomfuata, pengine anachukua masharobaro na masharobaro wanatabia ya kuambiana. Utasikia pale kuna neeema mwana mzukie na wewe mi keshanishtukia. Na wenzetu wanaume hawana wivu wivu wa hovyo kama sisi so kupasiana hawaoni tabu.

Abadilike kwani wanaume wastaarabu wapo wengi tu, asichague chague sana
Maty si unajua wadada wengi wakifika 29 hadi 35 wanakuwa wanapenda watu single ili waje wajenge family zao? sasa wale ambao wako single ndio waanamtesa ,before alikuwa na mme wa mtu wa umri 35 wala hakumtesa kabisa na wala hakuwa na mizinga ya kishamba
 
Hiyo ndo adhabu yakumuibia mwenzie mume!!!
 
Wewe hupigi mizinga rev? unajua kuna wanawake ni proffessional yaani hujaombwa umetoa mwenyewe.. yani jinsi ukiwa nae unahisi tu kumuhudumia mwenyewe

Mimi napiga mizinga kiakili....si Mara kwa mara pale inapobidi! Nategemea hata upande wa pili....usiwe na mizinga ya kijinga
 
kwenye mapenzi hakunaga kukopeshana bwana Masa, huwa mnapeana tu, hapo kwenye Gucci lazima awe mr wangu kama ni bfrnd 2 achore chini...hahaha

Kwa hiyo dada maswala ya faranga kwake ni mwiko kutoa? Yeye kwavile anatoa nyuchi ndo basi
 
wasiofanya kazi nawagrupu pamoja na mahausigeli na mahausibois...hao wanaomba kuanzia kitana, tissue, mahindi hadi kufunguliwa akaunti... hapo sijagusia nauli, poda, mswaki, pesa ya kuritachi na walio advance wanaomba hadi viwanja

wanaume mna vituko eti pesa ya kuritachi
 
Mimi napiga mizinga kiakili....si Mara kwa mara pale inapobidi! Nategemea hata upande wa pili....usiwe na mizinga ya kijinga

Mpwa juzi kati nilipigwa mzinga wa nauli 300 wkt nimemgaramia kila kitu kaja na kibajaj nacho nikatoa mfukoni tulivyo shindwa kufikia muafaka nikamwambia asepe akasema nimpe nauli amekuja yeye kama yeye nimpe hata 300 dah nilichoka
 
Kwa hiyo dada maswala ya faranga kwake ni mwiko kutoa? Yeye kwavile anatoa nyuchi ndo basi

hapo nilikuwa nimemjibu Masa anavyosema mpenzi anamwambia amkope shs fulani atamrudishia, ndio nikamwambia kwenye mapenzi hakuna kukopeshana kuna kupeana tu, una shida na laki nitakupa na sio kukukopesha.
 
Hiyo ndo adhabu yakumuibia mwenzie mume!!!

my dear....mume haibiwi, labda iwe alimfunga kamba akatoroka nae, kama wametongozana wenyewe na akili zao timamu nikupambana na huyo mume anaejua ana majukumu lakini bado anaona ahangaike na kuvuliana vichupi huko nje, hakuna anaeibwa labda awe hana aliki nzuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom