Ninawachukia Hawa.....

una kutana na mdada first day
siku ya pili anakwambia kodi ya nyumba nzima aliyopanga imekwisha.....

unabaki mdomo wazi....

as if tusingeonana ungelala stendi au??????????

The Boss, inawezekana siku unakutana naye ukajitangaza kwamba wewe ni mjukuu wa Bill Gates
Sasa na yeye anakuwa anatafuta pa kutokea, akiona hivyo anajaribu zali
 
mimi huwa nawa admire wadada wasioomba kitu
mpaka mwenyewe unajikuta una honga tu bila kuwekewa kiwango
 
The Boss, inawezekana siku unakutana naye ukajitangaza kwamba wewe ni mjukuu wa Bill Gates
Sasa na yeye anakuwa anatafuta pa kutokea, akiona hivyo anajaribu zali

kwa hiyo tujitangaze malofa
ndio dawa eh????????
 
hakuna mwanaume asiehonga wala asiyependa kuhonga

ishu sio kuhonga ishu ni kuchunwa
 
babe unajua leseni yangu imeisha,afu deadline ya kulipia ni leo,hapa nilipo hakuna benk, naomba akanilipie ni laki tano nikija nakurudishia, unapewa akaunti number, kwa mapenzi unadeposit baada ya kumjulisha kuwa umelipa, ndo na mapenzi yanaishia hapo, hakuna mawasiliano tena, duu hii dunia ina vimeo lakini
 
Jamani sisi wanaume tuseme ukweli, kama ndio unafukuzia demu awe mpenzi wako una ujanja gani wa kuwa na mkono wa birika? unajua wazi pasipo kutoa Iwe voucher,zawadi nk wengine watatoa na wewe utaambulia patupu. Na kwa vile unakuwa umeanza naye kwa staili ya kutoa, kuja kusitisha itakuwa ngumu na huwa inapelekea kuvuruga mahusiano. Kama utakuwa na ubavu basi anza naye tangu mwanzo bila kuingiza mkono mfukoni-ATM
 
Rev,yote kwa yote mimi nachukia sana tena sana tabia ya kumpa kitu mwanamke (simu,gari,fenicha,nyumba etc) halafu mkiachana eti unakuja unamkomba vitu vyote,mbaya sana hii wanaume wenzangu,kumbuka raha anayokupa mwanamke ni priceless huwezi kuithaminisha.
 
Angalizo! Raha mnapeana wote!
 
ATM ndo kila kitu bwana.....mwanaume kama siwezi chomoa vijicent kadhaa kwa wiki wa kazi gani????
 
Rev,yote kwa yote mimi nachukia sana tena sana tabia ya kumpa kitu mwanamke (simu,gari,fenicha,nyumba etc) halafu mkiachana eti unakuja unamkomba vitu vyote,mbaya sana hii wanaume wenzangu,kumbuka raha anayokupa mwanamke ni priceless huwezi kuithaminisha.

Yeye hapati raha?
 
Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom