Ninatafuta wachoraji wa picha kama hizi za rangi ya maji

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,598
215,331
1630499359254.png

1630509085665.png

1630509294142.png
 
Utukufu kwa Mungu juu mbinguni huu ujuzi wa kuchora hivyo kwakweli ni wahali ya juu sana .
Hiyo ni hyper realism huwa haina ufundi sana zaidi ya kufuata principles.

Njoo kwenye contemporary uumize kichwa
 
Kifupi ni kwamba, wachoraji wanatofautiana styles, kuna wanaotumia watercolor(rangi ya maji), oil colour (rangi ya mafuta), rangi isiyo ya mafuta, mkaa, pen, penseli na kadhalika

Inategemea na picha unayotaka wewe uchorewe!

Kuna zingine akikuchorea unasikia raha kuziangalia picha kwenye fremu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom