Maji ya rangi ya tope Kunduchi Salasala

Ujue nchi hii, watu weshafanya matatizo ya ajabu ajabu kuwa kitu cha kawaida! Kwa sababu yoyote ile, si kuna dawa ya kusafisha maji? Kama yanatoka ya tope, ina maana dawa haijawekwa! Kama ya kuondoa tope haijawekwa, vipi chlorine ya kuuwa vimelea? Au ndo tungoje kipindupindu?
 
Back
Top Bottom