Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

Marioooo mkubwa kabisa. Hunitishi kwa lolote. Uhuru hayati baba wa Taifa alituletea. Endelea kutoa povu kana cobra tu. Umekosea njia. Mimi siyo size yako in every angle. Fuka tena matusi yote duniani. Ndiyo ulivyolelewa. Siyo kosa lako. Keep it up maaaaan.
wanawake wa dar bwana,bora tu haunifahamu,ila kifupi wewe kunifikia mimi kwa lolote najua haiwezekani,labda umenizidi tu huo uajuza,unawatia aibu wanao kiufupi,naona aibu kujua bado kuna maajuza kama wewe wanatafuta mabwana mitandaoni,ni aibu kiukweli,aibu saaana...hata ndugu zako wakikubaini wanaweza hata wakakufuta ukoo,au umeungua nini unataka uwapake viumbe wa watu wasio na hatia kwa umala...wako,umefeli sana aisee!
 
Wakiwa na umri Mdogo ni shida kwa kweli same age. Kwa umri mkubwa stages nyingi challenging kwa ndoa au mahusiano zimeshapita hivyo inakuwa haisumbui sana. Ndiyo maana mimi nimeanzia 47 ila ninapenda japo from 48. Ila pia wengine hawajali ndiyo maana wengine wanaruhusu waume underage kiru ambacho kwangu ni changamoto.
Sawa that's good na jibu lako liko general kiutu uzima. Binafsi I am now at peace with my wife japo hatujapishana umri.
Ni kweli kuna kipindi cha dhoruba kali tulipitia na hakika tulishinda. Kwasasa wasiotujua hudhani ni wachumba tu. She is more than a friend I am enjoying her company.
 
wanawake wa dar bwana,bora tu haunifahamu,ila kifupi wewe kunifikia mimi kwa lolote najua haiwezekani,labda umenizidi tu huo uajuza,unawatia aibu wanao kiufupi,naona aibu kujua bado kuna maajuza kama wewe wanatafuta mabwana mitandaoni,ni aibu kiukweli,aibu saaana...hata ndugu zako wakikubaini wanaweza hata wakakufuta ukoo,au umeungua nini unataka uwapake viumbe wa watu wasio na hatia kwa umala...wako,umefeli sana aisee!
Mkuu mbona kama una chuki???? Kwani ajuza hana haki ya kuwa na mwenza.... Pia kwa kuwa lipo kibinafsi just mwachie mlengwa... Let it be my friend usijitafutie laana kwa machozi ya wana wa Mungu... Ni ushauri tu ukipenda nitukane na mimi ili chain iwe ndefu zaidi....
 
Nimependa saana jinsi ulivyojieleza ni nadra sana kukuta mwanamke wa umri wako na awe tayari kujieleza kiasi hicho.... Pole sana kwa waliokukatisha tamaa kwa maudhi wa matusi nikuase usikate tamaa kwani hamna safari isiyo na makwazo... Wapo waliokushauri sasa umezeeka hivyo ulee familia, nimefurahishwa na majibu yako na katika kukutia moyo zaidi naomba usijione tofauti au kuyumbishwa na hayo hasa kutokana na ukweli kwamba watoto wanahitaji malezi ila wewe unataka partner ambapo mtoto hawezi kuziba hiyo nafasi... Nikupongeze saana kwa kutoamua kuwa kama wengi wanaobemenda watoto wadogo huko mitaani... Mungu atakupa hitaji la moyo wako siku isiyotajwa na wanadamu. Miaka 47 bado una safari ndefu sana kuwa na partner wala usirudi nyuma.... I like you my Sister....
 
Amina Eli79. Msijali wala hamjaharibu na Patience 123. Mmenogesha tu. Shida wale watukanao. Ila wajue age is a number. Nitaona watakapobaki wagani au wajane au watalaka kama wataishije. Shida wengine wamezoea zinaa hawajali. MTU yuko comfortable Ku run na mke au mume wa mtu anaona fahari. Nawaasa tu watafute wa kwao.
Naona hutaki porojo kwenye uzi wako, upo makini dada. Usisahau mrejesho dada yangu. Patience123 tumeharibu uzi wa dada yetu.
 
Tamatheo Mungu akubariki mno kwa positive mind yako. Nilichojifunza katika maisha watu wengine wanajidai hawaoi au kuolewa pale wanapokuwa wagani au wajane au hata watalaka lakini nyuma ya pazia wako na waume au wake za watu au vibinti au viserengeti boys. Shame on them. Kama mtu umelelewa kimaadili na unaishi Mungu atakavyo utaiepuka zinaa. Tuache unafiki. Mungu aliumba Adam mwishowe akampa msaidizi. Mungu alijua maana yake. Hakufanya kwa upumbavu. Cha msingi walionitukana siku yao anayoijua Mungu ya wao kuwa wagani au wajane au watalaka au waliotengana inakuja. Sijui mtakuwa mnasemaje hapo? Kabla hujaandika kitu tafakari sana tutumie ubongo wa binadamu. Otherwise Mungu awabariki wote mliokuwa na mapenzi mema na kuwasamehe wote walionitukana. Ukweli niko serious na maswali Yangu ni critical. Nilichojifunza wako matapeli na waongo humu pia. Na Mungu ameniimarisha kwa hilo. Ninauliza maswali na ya mtego na mengine ninauliza kwa style ya marudio kwa jinsi tofauti na ninawagundua. Yote heri soon nitaomba kufunga Uzi huu ukigonga 4 months. Ila nitaendelea kumuomba Mungu aseme kulicho proper kwangu kwa siku za uhai wangu zikizobaki (Mungu ana ramani ya kila mmoja wetu).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom