Ninatafuta mpenzi/mume nipo serious

Uwe na adabu. Kamkojoze mama yako. Nilitoa angalizo toka awali kuwa sitaki lugha za kipuuzi. Mimi ni MTU mzima na nimelelewa. Hiyo sentensi ya mama yako nimeitoa kukuonyesha point ya kutovumilia ujinga na ukilaaaaza.
oohooo,hata utakayempata bado mtashindwana tu,nilikuchokoza makusudi ili niijue tabia yako,ndio maana unaachwa wewe,mtu mzima hovyo,watakuzalisha hadi watoto 13 kila mtoto na baba yake and still utaendelea kuwa single old big mama!
 
Single Moms wengine Tabu tupu
 
Hata mimi siafiki kutoa namba mapema, especially kwa sasa ambapo matapeli wa kifijitali wamejaa. Lakini akiikupa namba, we mzukie pm, kama yupo serious kweli mtaongea.
Sawa. Nitafanya hivyo. Itabidi nirudi backward nione walioacha namba.
 
oohooo,hata utakayempata bado mtashindwana tu,nilikuchokoza makusudi ili niijue tabia yako,ndio maana unaachwa wewe,mtu mzima hovyo,watakuzalisha hadi watoto 13 kila mtoto na baba yake and still utaendelea kuwa single old big mama!
Unamchokoza Nani kwa ujinga wako wewe. Lugha za matusi ndizo ulizolelewa nazo uswazi ndiyo maana unaweza kuzitumia. Kwetu tumelewlewa tuna ova na ndiyo maana minazi koko dafu kukataliwa unwanted. Nilikanya kabisa post Yangu sitaki kejeli. Jikatie mbali kabisa wewe. Hata nikizaa 1000 ni wangu sijaja kuomba sent tano kwako. Niko imara kuliko ulizo nazo wewe uchanganye ukoo mzima.
 
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 47. Nina watoto watatu. Ninaishi Dar es Salaam.

Ninahitaji kumpata mwanamume ambaye ana mapenzi ya dhati hasa uaminifu. Sihitaji kuolewa au niseme kuishi na mwanamume kwa haraka ila ninataka company tu. Na kupitia kampani nitaweza kujifunza kwa undani kama kweli mwanaume yuko siriazi au la. Ninachohitaji kwa sasa ni upendo wa dhati, Nimerudia hapo.

Sitaki wabahishaji wa mahusiano na hapa atakayejitokeza awe mtu wa uhakika ambaye:

- Ni mgani i.e aliyefiwa na mkewe kwa misingi hii kama una baba yako hapa alifiwa na mama niunganishe tu. Au kaka yako ambaye amefiwa na mke niunganishe tu. Au awe Mtalaka na si kutengana.

- Akubali kupima HIV

- Asiwe mume wa mtu au mwanaume ambaye hajaoa ila ana wanawake ambao ana connect nao. Hii imenigusa sana baada ya kukutana na mwanaume ambaye alizaa na several women kumbe ni mtu ambaye hana future kabisa kimaisha ya familia. Nilimpenda sana ila changamoto za wanaume kama hawa ni kubwa sana. Ni kujitakia presha.

- Anipe uhuru wa kufanya mambo yangu ya kiuchumi kwa kuwa nina watoto na ninahitaji wasiishi maisha ya tabu . Sitaki kuwa tegemezi hapa. Nimejifunza sana.

- Awe ananithamini mimi kama mpenzi wake na asinilazimishe ndoa mpaka pale nitapona kuwa kweli ni mtu wa kuzeeka naye.

- Awe ni mtu anayejituma katika kuzalisha mali, either ameajiriwa/kujiajiri au anafanya biashara zake.

- Awe ni mtu anayependa familia kwa kuanzia na watoto wake mwenyewe iwe ni priority kwake kabla hajawapenda wanangu mimi.

- Awe tayari kuandikiana pre-nuptial agreement kama itafikia mahali tuamue kuishi pamoja. Ninasema hivi kwa kuwa atakuwa na mali zake na wanawe ambao atataka kuwapa urithi na mimi nina wanangu na chochote kidogo nilichoweza kuhangaikia kwa miaka yangu hivyo sitaki ugomvi wa mali hata kidogo.

- Asiwe Mlevi au Mvuta sigara.

- Awe mkristu. Sibagui ila mimi ni mkristu na wanangu pia hivyo itakuwa shida kidogo hapa. Nimekuwa mkweli msinielewe vibaya.

- Awe na miaka kati aya 47-52.

- Akiwa DSM ni vizuri. Nje ya DSM tutakubaliana workable situations.

- Vigezo visikutishe kama una vingi kati ya hivyo hasa umri na kutokuwa na mke tuwasiliane PM na ninaamini tutafikia muafaka wa pamoja.

Ninasema sasa kwa mwanaume ambaye anaona anaweza kujaribu kuanzisha mahusiano na mimi karibu PM. Ukiona utatoa lugha mbovu isiyo na staha ninaomba upite taratibu.

Angalizo.
Nipo serious, ninaomba sitaki lugha za matusi au mitaani mimi ni mtu mzima. Wanaume serious tu na wenye umri niliotaja wani Meseji (PM].
Habari na heshima yako Dada Loe, Mimi nimejifunza sana katika hili andiko. Nikutie nguvu tu kuwa kama bado kumpata utampata tu.
Ila ninaswali muhimu unisaidie kutokana na uzoefu wako katika maisha. Hivi watu wenye umri sawa say mume 30 na mke 30, unadhani wanaweza kua na ndoa yenye furaha katika maisha? Please guide accordingly.
 
Asante sana. Lengo kubwa ni kuwa na kampani tu ya kupeana mawazo ya hapa na pale. Unajua tuna watoto ila watoto nao wanakuwa na wanatoka mikononi mwako na unabaki mwenyewe nyumbani. Kwa misingi hii life partner ni zaidi ya watu wanavyofikiria kuwa ni ngono pekee. La hasha, hata kuwa na social interactions nyinginezo ambazo kwa watu wa umri mkubwa ni muhimu mno kupita mambo mengine yote. Kwa misingi hii ninaomba watu waelewe tu hivyo. Kama ni suala la ngono ninaweza kuamua kumpata mahali popote tu na ninaendelea na upwekwe wangu but maisha ya utu uzima ni zaidi ha hapo.
Maneno kuntu hayo. Mungu aone hitaji la moyo wako
 
Unamchokoza Nani kwa ujinga wako wewe. Lugha za matusi ndizo ulizolelewa nazo uswazi ndiyo maana unaweza kuzitumia. Kwetu tumelewlewa tuna ova na ndiyo maana minazi koko dafu kukataliwa unwanted. Nilikanya kabisa post Yangu sitaki kejeli. Jikatie mbali kabisa wewe. Hata nikizaa 1000 ni wangu sijaja kuomba sent tano kwako. Niko imara kuliko ulizo nazo wewe uchanganye ukoo mzima.
mama wapenda mteremko watakukatisha tamaa sana
achana nao
 
wewe una stress,game ya mapenzi ishakushinda,miaka yako wenzio wanalea wajukuu wewe bila hata aibu unakuja kuongea utumbo mitandaoni eti unatafuta mume,zinakutosha kweli wewe?yaani vigori waliojaa mitaani mtu aje ajichomeke kwa m`bibi unaona inawezekana kweli,umejaribu kutafuta manually imeshindikana,kwanza hata utamu hauna,kifupi wewe jua limezama,pole sana na ukichaa wako,ukiweza katafute radioni kabisa,ajuza wewe hovyo kabisa!
Marioooo mkubwa kabisa. Hunitishi kwa lolote. Uhuru hayati baba wa Taifa alituletea. Endelea kutoa povu kana cobra tu. Umekosea njia. Mimi siyo size yako in every angle. Fuka tena matusi yote duniani. Ndiyo ulivyolelewa. Siyo kosa lako. Keep it up maaaaan.
 
Su
mama wapenda mteremko watakukatisha tamaa sana
achana nao
Sure Miss Natafuta. Wale wenye ID lukuki niliowachinjia baharini wanaibuka kivingine. Silei Serengeti wala Mario's. Au wale wa mlima Kitonga hawana nafasi my dear. Issue zote mezani tu na Mungu akisimamia.
 
Habari na heshima yako Dada Loe, Mimi nimejifunza sana katika hili andiko. Nikutie nguvu tu kuwa kama bado kumpata utampata tu.
Ila ninaswali muhimu unisaidie kutokana na uzoefu wako katika maisha. Hivi watu wenye umri sawa say mume 30 na mke 30, unadhani wanaweza kua na ndoa yenye furaha katika maisha? Please guide accordingly.
Wakiwa na umri Mdogo ni shida kwa kweli same age. Kwa umri mkubwa stages nyingi challenging kwa ndoa au mahusiano zimeshapita hivyo inakuwa haisumbui sana. Ndiyo maana mimi nimeanzia 47 ila ninapenda japo from 48. Ila pia wengine hawajali ndiyo maana wengine wanaruhusu waume underage kiru ambacho kwangu ni changamoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom